Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

Kutenda kosa ni bahati mbaya ila kurudia kosa ni ujinga... Kafanya nae mara mbili tu...
 
Ukimsamehe utakuwa fala ukimuacha tunammega
 
Imekaa kisaikolojia zaidi. Wanahitaji kuachana kwanza kila mtu akamove on, kama watarudiana mbeleni kuna nafasi ya kudumu kuliko akimsamehe now.
Mmmmmmhmn hivi kweli mtu ambaye alishawahi kuwa mpenzi wako mkishatofautiana halafu muachane then mrudiane utajiskia kawaida kuwa nae....?! Me siwezi.

Nawaza amekutana na madudu magangapi, wamemgeuzaje huko alipokuwa, ameshanyonyeshwa madudu mangapi. Wamemkojolea mara ngapi, katoa ujauzito mara ngapi.

Halafu nije niweke ndani seeeeeeeeee ptuuuuuuuuuuuh [emoji1785][emoji2961]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sehemu nilisoma ukicheka na malaya utalishwa mbegu. Atarudi utambusu kumbe katoka kubugia mimbegu.
 
Mimi nakushauri kuwa umsamehe tu kwasababu umekiri wewe mwenyewe kuwa hata wewe si mwaminifu na ameshawahi kukufuma mara moja, Kumbe ni busara sana kumsamehe kwasababu hata yeye ni binadamu pia,na kwa ubinadamu huo anaweza kukosea.Msamaha ni tiba.
 
Mwanaume kuchepuka sio kosa. Mnakuaje siku hizi yani???

Piga chini huyo demu au kubali kuendelea kuchapiwa....
 
Wewe umeizoea Tunda ya huyo demu,ni kipi huna Mpaka akusaliti mara mbili? Unafikiri Upendo utakuwepo hapo Tena? Huyo hakutaki kakuchoka
 
Haachi kutembea nae huyo... fanya tu maamuzi yatakayoridhisha moyo wako.
 
akili yangu kumkichwa imefikia kikomo kufikiri hilo swala ndo mana nikaja kuomba ushauri humu
Sisi wanaume mara nyingi tukigundua tumesalitiwa huwa inatuuma sana ila kuwasaliti what warembo ni kitu cha kawaida yani kwenye akilizetu tumesha halalisha kuwa kwa upande wetu ni kitu cha kawaida any way .... ushauri wangu pima mizani kati ya mambo matano unayo yapend mwenzi wako awenayo je amefikia walau 3? Kama jibu ni ndiyo mwwkee mikakati mipya ikiwemo aachane na hiyo kazi ikiwezekana mtaftie mishe mingine then mpe tena mda
 
Wewe kwa kusoma tu saikolojia yako ni kua Umeelemea upande wa kumsamehe huyo mwanamke, ndio maana ukatoa na mapungufu yako ili tukuambie msamehe.

Ila kwa ushauri wangu.
Endelea nae ila usimwambie kua umemsamehe ili uangalie kama kabadilika kweli au lah, usepe kimya kimya.
 
Cha peke yako duniani hakuna.

Hata kaburi watu wanashare.


Ukizingatia haijaacha alama

Potezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…