Mpenzi wangu amekiri kunisaliti, ameomba msamaha natafakari maamuzi ya kufanya

Ukiachilia mbali mkewangu, sijawahi umia kisa kanisaliti. Kuna siku niligundua mchepuko wangu umenitenda. Akakiri na kuomba samahani. Nikamwambia huna sababu ya kuomba samahani. We nenda, nikikuhitaji nitakuita. Aliongea maneno yote ya kubembeleza. Nikamwabia nenda tu.

Baada ya wiki akaja, nikakagua iko safi. Nikala kama kawa. Na maisha yanaendelea. Nikitaka nakula baada ya hapo hakuna kuzoeana, asubiri siku nikihutaji.
 
[emoji38][emoji1][emoji1] Daah!
nafanya ivo ili nijue nimpime imani yake,na kama kweli kaamua kubadilika na kuachana na uyo jamaa.
Daah mwanangu una uboya mwingi sana.
Kifupi wewe hushauriki, una maamuzi yako tayari.

Fuata kile roho yako inapenda ila usije kumlaumu mtu kwa maamuzi yako.
 
Ukiachilia mbali mkewangu, sijawahi umia kisa kanisaliti. Kuna siku niligundua mchepuko wangu umenitenda. Akakiri na kuomba samahani. Nikamwambia huna sababu ya kuomba samahani. We nenda, nikikuhitaji nitakuita. Aliongea maneno yote ya kubembeleza. Nikamwabia nenda tu.

Baada ya wiki akaja, nikakagua iko safi. Nikala kama kawa. Na maisha yanaendelea. Nikitaka nakula baada ya hapo hakuna kuzoeana, asubiri siku nikihutaji.
mke wako alivyokusaliti alijiteteaje
 
Sasa wote ni wasaliti, na alikufuma akakusamehe kwahyo nawee umsamehe ili iwe sawa sawa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom