Mpenzi wangu anaficha meseji kwenye simu yake, nahisi anawasiliana na wanaume wengine

kuna bwege inabdi nimfanyie hii ya kumuachaa kwanza ndo tutakuja kuongea maana ukisema umwambie makossa yake atakupangaa yaniii balaaa na msamahaa kama wote
 
We utakuwa bado kijana mdogo halafu mgeni wa mapenzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa maisha ya sasa hata uwe na nini huwezi kupata msichana wa peke yako hata ukitaka kuoa ujue unaoa mke wa watu maana umemkuta hana bikra.
Niliwahi kupata kabinti flani katoto ka kiislamu kana heshima na kanajua kujistili muda wote kusali nikaamini nimepata mke kwa jinsi ambavyo alinipenda na tulidumu mahusiano muda mrefu lakini siku moja nikahisi kitu nikaamua kutrack simu zake hapo ndo nilichoka kabisa!
Niligundua kametupanga wanaume 14 ambapo watatu kati yao ndo walikuwa hawajapewa mbususu lakini wengine wote wamekatafuna na siku nyingine analala kwangu kumbe alipitia kwa jamaa jingine kabla.
Kifupi hivi visichana vya sasa hivi vina laana we ukitaka kubisha tafuta binti ambaye unaamini ametulia na anakupenda kwa dhati kisha jaribu kutrack simu yake baada ya week moja utapata jibu
 
Yaani hii story yako inafanana kabisa na binti mmoja ambae niliwahi kuandika kisa chake humu. Yaani nikimuacha kwa sababu pamoja na kuwa tulikua na malengo ya kuona lakini simu yake ilikua Kama kituo Cha polisi tangu tuanze mahusiano yetu
 
Ukiona mwanamke anapga password chats zake alaf upo nae kwny mahusiano apo hakuna future kat yenu we chagua moja uwe mjinga kama unampenda kwel au tafuta pisi kal nyngn hakuna maisha mengne bro
 
Dunia inakimbia sana, naona watu humu wamehalalisha kwamba binti au kijana wa kiume lazima awe na mtu mwingine apart from main one. Aisee huu ni ujinga na ujaha afu mtu anaongea kabisa usichungize simu. Zamani wazazi wetu walijua binti wa fulani ametulia na anafaa wanakwambia kaoe pale, kwa sasa tuonaokutana mjini njia pekee ya kujua hilo ni hizi simu na mitando ya kijamii maana mnakuta mjini labda kama hauna mpango nae. Jamaa wa mada fanya mambo mengine achana na hiyo mali ya umma kumbuka tabia ni kama ngozi ya mwili.
 
There's a boy in my mind and he knows I'm thinkin' of him
All my way to the day and the night the stars shine above me.
He's been gone for some time but I know I truly love him.
And I'm singing a song, hoping he'll be back when he hears it.
My heart goes shalala lala, shalala in the morning.
Oh oh oh shalala lala, shalala in the sunshine.
Shalala lala, shalala lala in the evening.
Shalala lala shalala lala just for you.
If your love's gone away just like mine you feel like crying.
Sing along maybe once maybe twice, let's try it together.
Some sweet day no one knows he'll return and you'll be happy.
Shout it sweet in a song, LISTEN TO YOUR HEART IT IS SINGIN'
My heart goes shalala lala, shalala in the morning.
Oh oh oh shalala lala, shalala in the…
 
Hakuna jambo huwa linanikera kama mtu anamchunguza mpenzi wake anafanikiwa kupata ushahidi mweupeeee kama tui la nazi badala ya kufanya maamuzi anakuja kuuliza watu ili angalau apate wajinga wenzie(maana ni ujinga na ubwege) wampempe moyo aendelee nae nishauri kitu kama unajijua huna jeuri ya kumuacha usimchunguze narudia tena "kama huwezi kumuacha usimchunguze"
 
Dah...nimekupenda buuuuure
 
Ahsante kwa matusi, ila pia evidence nishapata na maamuzi nishafanya, aliekuambia kwamba siwezi kumuacha ni nani?

Kuja kutuambia umefuma msg mara mbili mbili nakuanza kumuuliza mwanamke huyu ni nani hiyo ni dalili tosha huna maamuzi

Angalau kidogo umekuwa mwanaume kwa kuwa na maamuzi magumu..

Mwanaume yeyote anayesalitiwa hlf anaonyesha hana maamuzi yeyote mi uwaga namtukana tu sababu anakera...

Najua utataka kurudi maana msimamo huna sasa ukirudi tenaa nakutakana kabisa bwege wewe [emoji35][emoji35][emoji35]
 
kuna bwege inabdi nimfanyie hii ya kumuachaa kwanza ndo tutakuja kuongea maana ukisema umwambie makossa yake atakupangaa yaniii balaaa na msamahaa kama wote

We piga chini atakuja kujua kaachwa week ya tatu huko..

Atakuheshimu kwa maamuzi yako magumu
 
Unapoamua kumchunguza mty hasa kukagua simu yake uwe na majibu kabisa kwamba je nikikuta madudu huko nitaamua nini.

Kama hujui utaamua nini ni bore ukaachana nayo. Mi huwa nakagua simu zao tu kwa kujifurahisha, ili nijue tu nae ni muongo muongo kama mimi au namchezea tu mtoto wa watu.

Nikikuta ana madudu mengi aisee nakua namtoa kwenye hesabu namuweka kwenye kundi la kimasihara coz sijui yeye kaniweka kundi gani. Ila kama ni mtoto mwema sijakuta madudu namvika uwife material.

Ila ogopa sana umeshika simu ya mtu inbox zote ziko empy, call records empty 😂😂, aisee huyo ni zaidi ya mafia.
 
Kabla ya kukagua hiyo simu inabidi uwe na maamuzi kabla, sio unakagua na kumuacha ukiumizwa huwezi, huo ni ulofa
 
Siyo miaka7 amesema miezi7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…