Mpenzi wangu anaficha meseji kwenye simu yake, nahisi anawasiliana na wanaume wengine

Mpenzi wangu anaficha meseji kwenye simu yake, nahisi anawasiliana na wanaume wengine

Mimi ningeacha kukagua simu yake na kama kweli unampenda utamvumilia

Pia tunaambiwa kwamba kila mtu atakuumiza hivyo chagua takataka moja utakayoweza kuvumilia maumivu yake mpaka atakapokaa kwenye reli
 
Ifike mahali sisi binadamu wa leo tukue. I think we need maturity katika maisha ya mahusiano. Siku hizi matatizo ni mengi yasiyo na kichwa wala miguu na ni kwa sababu hatutaki kukua.

I think unapokutana na mtu embu tusichunguzane past tuiandike future pamoja. Kila mtu ana flaws hakuna mkamilifu.

Kama kweli unampenda mtu then things will fall into place lakini ndo kuangalia simu za mwenza wako huanzisha a stupid past. #rudikalalejuan#
 
Afu kwanini wanaume ndo mnaongoza kwa kulialia na mapenz humu ndani?
Tatizo wanaume wengi tupo royal sana! Tuna ile true love ya kifilipino! Na unajua mwanaume akiingia ktk mahusiano hategemei kulipwa, anategemea kupewa upendo wa kweli tu tofauti na mwanamke anatanguliza maslahi kwanza hivyo mambo yakivurugika mwanamke haumii sana anajua haikua rizki anaangalia madanga mengine!
 
Na kiuhalisia watu hawajui tu,wanawake tukipenda tunapenda kweli ila udhaifu wetu ni kukosa msimamo...yaan mtu mwepesi kugeuka katika mapenz ni mwanamke...mwanaume anaweza shawishiwa na mbunye ingine akaila na akabaki na msimamo wa kubaki na aliyenae ila mwanamke nikigongwa nje nahamisha uchi,akili na moyo pia,ndo nishageuka yaan
 
Huyo mpenzi wako si ana marafiki zake wale mabest?

Watumie sms ya aina moja kwa kutumia simu ya mpenzi wako andika "Shosti nina mimba"

Ukiona jibu la sms linakuja "Ya nani?" Rudi tena nikushauri cha kufanya.
 
Back
Top Bottom