Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

Huyo ni jini achana naye
 
Hongera kwa kujipata mkuu, haya tafuta mke uoe ili vistress vidogovidogo uwe unammalizia ukirudi home. Huku tunafurahi na kuchangamshana tu.

Ninae binti, ila wewe kwa stress zako siwezi kukupa, nunua wa mitandaoni.
Kijana je unaye unipe nakuhaidi nitakua mkwe mwema🤸
 
Kama anakula sana, nawewe MLE SANA
 
 

Attachments

  • 2B9X.gif
    963.4 KB · Views: 1
Bila picha ya Mwa J akiwa anakula mguu wa mbuzi futa uzi...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…