Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Wababu nao wana haki ya kula vinonoMimi nilijuaga wewe ni mbabu age go kumbe bado unatafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wababu nao wana haki ya kula vinonoMimi nilijuaga wewe ni mbabu age go kumbe bado unatafuta
Nipe mimi huyo binti yako mkuu Sina mbambamba😃Hongera kwa kujipata mkuu, haya tafuta mke uoe ili vistress vidogovidogo uwe unammalizia ukirudi home. Huku tunafurahi na kuchangamshana tu.
Ninae binti, ila wewe kwa stress zako siwezi kukupa, nunua wa mitandaoni.
😂😂Huyo ataua watoto... enewei mpeleke kwa wataalam wa saikolojia. Pole sana mkuu
Hapana mkuu, binti yangu atatafuta mwenyewe aniambie baba nimepata mwanaume nampenda. Ili wakizinguana nimzingue.Nipe mimi huyo binti yako mkuu Sina mbambamba😃
Oh vizuri.Hapana mkuu, binti yangu atatafuta mwenyewe aniambie baba nimepata mwanaume nampenda. Ili wakizinguana nimzingue.
Huyo ni jini achana nayeTumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.
Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.
Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula kuku mzima wakuu...🙄
Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...😳
We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...🤔
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.
Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...🙁
Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.
Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..☹️
Kijana je unaye unipe nakuhaidi nitakua mkwe mwema🤸Hongera kwa kujipata mkuu, haya tafuta mke uoe ili vistress vidogovidogo uwe unammalizia ukirudi home. Huku tunafurahi na kuchangamshana tu.
Ninae binti, ila wewe kwa stress zako siwezi kukupa, nunua wa mitandaoni.
Kama anakula sana, nawewe MLE SANATumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.
Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu.
Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga tunaendanae geto.
Yaani Mwa J ni komakoma shenzi type, binti alinikamulia kuku mzima, sasa funga kazi mie nilikuwa nakula kongoro nikatoa ngozi nikaiwekapembeni mara kaidaka na yenyewe kaipiga akaona haitoshi akachukua na bakuli la mchuzi wa kongoro akaunywa allooooo.
Last Sunday tulitoka akaagiza mguu mzima wa mbuzi pale Choma Zone, Mwa J akaula hadi akaumaliza, mbaya zaidi akamaliza hadi chumvi na pilipili.
Sasa huyu nikisema nioe sindio atakuwa anakula kuku mzima wakuu...🙄
Mwa J hajawai kaa na debe la unga wiki nzima wakuu, huyu sio jini kweli...😳
We mwanamke gani kwanza anakunywa maji kwa kutumia jagi...🤔
Kwanza Mwa J anamiguu ya kiume hadi viatu linavaa size 12.
Kha.... mwanamke gani huyu haponi uti wakuu...🙁
Kwanza ana makucha marefuuuu sijui huwa anafuaje nguo zake za muhimu maana nguo nyingine najua huwa anafuliwa na wale wadada wanaopita kwenye majumba kutafuta day waka.
Kwenye hili sihitaji ushauri wakuu, nimesha fanya maamuzi..☹️
Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee.

Wazee wa jf nao wameona wasibaki nyuma, Nisione mtu anawaponda watoto wa elfu 2 akili wamerithi kwa wazazi wao...!🤸
dahSichekagi na watu wenye matusi kaa pembeni!
🤣🤣Nilichogundua humu jf siyo sehemu ya kuomba ushaur
huku ukija kishamba unapigwa spana za hatari..
Wewe ushampata wa kwako, kaa nae umpende ili akutunze.Kijana je unaye unipe nakuhaidi nitakua mkwe mwema🤸
Ulimuona huyo wangu😎Wewe ushampata wa kwako, kaa nae umpende ili akutunze.
Ndio!Ulimuona huyo wangu😎
Sawa tu! Unatafuta kisingizio uninyime kijana wakoNdio!