Mpenzi wangu anasita kujenga juu ya kiwanja changu

Mmh okay sawa
 
Sawa Dada nimempa room ya kuangalia namna bora kama ataafiki sawa
 
Sasa tuseme amejenga kwenye kiwanja chako, ikaja tokea siku mkagombana na kuachana utamwambia achukue nyumba yake na akuachie kiwanja chako? Ushauri wangu ni aidha umuuzie hichi kiwanja, au muandikiane kisheria kuwa unampa yeye hicho kiwanja na hutomdai mkifarikiana (hakuna anaeweza kutabiri kitakachotokea kesha), au muingie ubia akulipe nusu ya pesa ulizonunua kiwanja na halafu muanze kujenga pamoja kwa pesa zenu nyote wawili, hapo ikitokea mtafaruku itakuwa ni rahisi kugawana/kulipana mali.
 
Mh sawa hakuna tatizo nilishauri tu
 
Wanaume acheni roho mbaya, kuna ubaya gani akijenga kwa bidada na wana malengo ya kuwa mke na mume!!!
Mwaya endelea kuongea naye taratibu atakuelewa usiwasikilize watu wa humu wavurugaji wa mapenzi ya watu 😜
 
Badilisha hati ya uwanja iwe jina la mmewe Kama Ni unajua Mana ya mke labda utakuwa unajua Mana ya mwanamke na sio mke
 
Shikilia msimamo wako ajenge kwenye kiwanja chako mwaya shosti, hakikisha anajenga mabaharia wa kike wenzio tuko pamoja na wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Si eti ndugu mwenyekiti Joannah
Haha haaaa kiwanja changu ajenge mwanaume ambaye sijafunga nae ndoa?sio kweli,Hilo ni kosa la kiufundi baharia🀦🀦
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…