Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

Umeyatafuta maumivu, umeyapata halafu tena unalalamika.

Wewe na huyo demu wako ni pipa na mfuniko.
 
Unazingua mkuu
Ko ulitegemea dem wako akatae??
Kwani yeye hapendi mali mpya?

Yaani we ulivyo kolo wa mwisho, unamtest afu huna maamuzi ikiwa itanenda tofauti.

Haya lengo la kumtongoza kw namba feki ni nini??
 
Ko ulitegemea dem wako akatae??
Kwani yeye hapendi mali mpya?

Yaani we ulivyo kolo wa mwisho, unamtest afu huna maamuzi ikiwa itanenda tofauti.

Haya lengo la kumtongoza kw namba feki ni nini??
Lengo nipime upendo wake akikubali
Inabidi nimwambie kwamba ni mimi then nitapunguza upendo
 
Hapo nimekuelewa mkuu
Kuna kuelewa na kukubali ukweli ama uhalisia wa Jambo lilivyo emotionally, physiologically, spiritually, mentally and physically. Hapo ndio kuna kazi mno. Ni sawa na Ile nimekusamehe Ila karoho kanauma bado. Ama unasema tu mdomoni kuwa Sina wivu Ila jamaa akifanya mambo makubwa kukuzidi unapata ka maumivu unabaki unateseka na kuumia ndani kwa ndani mwishowe mpaka kansa inatakoea
 
Hakuna mapenzi ya hivyo wewee, hapo ushaonyesha humwamin, sasa unaendelea vya kaz gani?? Au unataka tukushaur nin🚮🚮🚮🚮
 
Kuna vitu vinatia uvivu hata kuvisoma

Wewe umesema ni mpenzi wako sio mkeo sasa hayo mamlaka ya kutaka kumpangia wa kukutana nae kimwili unayatoa wapi?
Umri wa kuoa ukifika tuoe tuache ujingaujinga kama huu wa kupangia watu jinsi ya kutumia miili yao
 
Mawazo/maumivu ya ndani kwa ndani yanasababisia kansa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…