Mpenzi wangu kakubali kukutana kimwili na rafiki yangu

Ndiyo hivyo umeshasoma mkuu
 
Mawazo/maumivu ya ndani kwa ndani yanasababisia kansa?
Mbona Kama una doubt. Yaani nikuambie tu tunaugua kisa Cha ulaji wetu, mtindo wa maisha yetu la tatu ni kuhusiana na mental peace mpaka huko kwa spiritual, ukiwa na amani kabisa kabisa emotionally huwezi ugua. Stress ama mawazo , msosoneko , Yale maumivu kila kitu unaumia kabisa unalalamika , lazima utaugua kwa muda mrefu , Kuna kitambo Cha shida unakijua yaani unanenepa Ila ni kisa chakula hakiswagi vizuri
 
Umeongea point mkuu
Mwenyenzi mungu azidi kukuweka
 
Mtoa mada huelewek mwanzo wa story na mwisho wa story

We ni ke au me ?!
 
Usimuite mke wako muite mwanamke "mwanamke niliyenaye kakubali kulala na rafiki yangu"
 
Umeongea uhalisia ambao wengi huukwepa. That's pure nature.
 
Umeomba papuchi umekubaliwa unakuja kulala humu! We nenda eneo la tukio kale utamu then utafanya maamuzi umuache au umsahehe. Maisha mafupi usicomplicate mambo
 
Nakazia
 
Sio kwamba ndo kukubali ni kwamba jamaa asha wahi kuchapa so hayo ni marudio tu
 
Umeongea uhalisia ambao wengi huukwepa. That's pure nature.
Wengi mno wanafarijiana na wakati ukiwa in real difficult situation unakimbiwa ama unamkimbia mtu mapema.
Maandiko yenyewe yanadai Kuna njaa ambayo mama atamkana mwanaume. Upendo ni wakati mkiwa kwenye peak ya sexxxs Ila ikiishaisha pia binadamu Hana tofauti na mnyama kila mnyama anajua wapi ale pia na kila mmea unajua eneo lake la kuota. Unafikiri magugu maji hayana akili kuishi majini mbona hayaoti jangwana ama in Savannah climate.

So na wewe usipokuwa na rutuba ni asili hakuna atakayekuwa kwako hata mzazi wako anaweza kukimbia.
Unadhani nzi ni wajinga hawawezi ishu penye uchafu kweli ama penye kidonda na ukipona huwaoni.

Kama huna kunguni, mende na wadudu wengineo like chawa uelewe unapoishi hapana rutuba ama sio rafiki kwao. Gari yenyewe inatumia mafuta weka maji haiwaki. Sasa wewe ishi na mme wako eti unampenda wakati usipomsaidia chochote unachokwa Mana ngono Ina mwisho wake.

.inabidi ukweli usemwe ndivyo asili ilivyo mie nije kwako kwa lipi. Ukiwa hupati marafiki wengi Ina huna potential, life is trading mtu atabadishana Nini na wewe. Toa mahindi chukua mtama Sasa wewe utoe mtama utapokea Nini in return.

Yaani hii kanuni ya asili wanawake wanaifahamu mno yaani mno. Hana huruma na wewe ukiwa huna hela.
Hela inanunua chakula kizuri.
Unadhani binadamu Ni mjinga akae na wewe karibu ili iweje Kama nzi mwenyewe anakukimbia kidonda kikipona. Kacheki movie ya best wife. Huyo mkeo jifanye umekamatwa na ufungwe jela mwaka mmoja ili umpime na ufukuzwe kazi, ndio utajua uhalisia ya asili ama nature.

Let us be real na sio kudanganya eti tunapendana Kuna conditions if don't meet no more love
 
ishi nao kwa akili 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…