Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Achana nae, njoo utafute mume JF.

Humu kila mwanaume ni mrefu halafu mweusi tii, na kila mwanaume humu JF akiwa anakula mzigo anapiga sho kali na mwanamke anarusha maji! Karibu sana.
Huku kuna wanaume au waume??
 
Unaandika kama wote humu tuna umri sawa na wako pmbav
Kwani kama wewe NI zee, si upite, waache wenye UMRI Sawa wandike na kusoma na Ku comment
Embu kakojoe ukalale, usituletee stress za Corona sijui imekusahau vipi au penshen hulipwi.?
 
Nenda nae tuu mapenzi hayaangalii hayo ndugu.
Kama wazazi na ndugu zako wanatambua hilo.
 
Kabisa
 
Kama ako na pesa mtambulishe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…