Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Acha ujinga warembo wapo kila kona
 
Ukisusa, wanakula.
 
mashoga mnapendaga kumbe
 
Nifanyeje, nilete uswahili au? Nina picha zake mbaya sana

hilo litakuwa ni kosa la jinai usithubutu huo ujinga utaishia jela. Ni kosa kusambaza picha za utupu za mtu mwingine bila ridhaa yake.

Hapo pia utaonekana mshamba na ndio utaimarisha zaidi ndoa yake. Tulia fanya yako hata usimtafute na kama bado unayo namba yake ifute na picha zake zote futa kabisa.
 
And u will fu*ing hold it for the rest of your life.
 
Nilifikiria kwa udogo sana ila nimeeewa sahivi siwezi fanya ivo.
 
Dah! Pole sana mkuu.
 
Naamini hii comment umeandika kwa utani. Ila kama upo serious utakua na shida mahali.
 
Ha ha ha kwanini mkuu?
Wanawake wote hawawapendi wanaume wao zaidi ya kuleta stress kwenye maisha ya mwanaume, mana mwanaume ni lazima amtunze mwanamke lakini mwanamke sio lazima amtunze mwanaume.....Kikubwa kuwa na mahusiano na mwanamke kunapunguza sana siku za kuishi za mwanaume. Ndo mana nawahusia vijana wasichezee nafasi ya kuwa single
 
Hahahahahaaa umenikumbusha mbali sana, matoto ya siku hizi yamekomaa kimapenzi mbaya kabisa si wa kike Wala wa kiume.... Miaka ya nyuma enzi za Jk nimesoma zangu education baade nikapangwa kazi mkoa x, Sasa Mimi kiasili nina km Ile u-gangstar flan hip-hop hv so nikawa na ushakaji na madogo but wananiogopa flan kutokana na ununda.... Hata wale watoto wa kike nilikua na ushikaji nao but kinamna flani but wananigwaya... Kipindi hicho mtandao maarufu ni Facebook zaidi ingawa nilikua naingia mara Moja Moja, Kuna siku Moja nimeingia Facebook Kuna mtu kani-inbox jina nickname la ajabu ajabu halafu hakuna hata picha yoyote,kichwan kwangu nikajua ni msela flan kumbe ni mwanafunz wangu wa kike... Akaandika

Yeye: vp lakini mzima ww!
Mimi: mi niko poa! Vp ww!
Yeye: mi mzima, Sasa vp mbona unanikalia kimya?
Mimi: mi nipo sana msela angu, mishe vp lakin
Yeye: mbona unaniita msela wakati mi mdada
Mimi: oh sorry, sikujua kumbe we ni mdada. Kwan we Nan na uko wapi?
HAKUJIBU MESEJI YANGU, BAADAE NIKA-DELETE CONVERSATION... NIMEKUJA KUINGIA FACEBOOK BAADA YA MIEZI MITATU NIMEKUTA MESEJI YAKE INBOX LAKINI SIMKUMBUKI KM NI YEYE COZ NILISHADELETE CONVERSATION... SO MESEJI ZIKAWA ZINACHELEWA KUJIBIWA SABABU NILIKUA SIINGII FACEBOOK MARA KWA MARA. AKAANDIKA

Yeye: sasa vp mbona unaendelea kukaa kimya jamani!!
Mimi: sijakaa kimya kamanda angu Kwan vp( kipndi hicho neno kamanda limeshika hatamu enzi za chadema)
Yeye: sasa unaniita mi kamanda wakat mi ni msichana... Niambie bas jaman
Mimi: nikuambie kitu gan mi sikujui
Yeye: Unanijua sana wewe unakaaga kimya.....


Hiyo account nilichat nae mwaka mzima sijui ni nani maana hakuna picha hata Moja.... Baadae nilikuja kumjua baada ya kumaliza shule na akaanza kuweka picha kwenye hiyo account yake..... Hawa watoto wa shule Wana mambo sana walimu Wana kaz
 
Asante sana nmekuelewa.
 
Mkuu wenye maadili bado wapo wengi, lakini wakishaanza kuwa huru maisha ya chuo ndio huwabadilisha na kuwa wajinga wajinga. Kuna binti fulani ni mtoto wa Judge nilikuwa natoka nae sasa nikaja zinguana naye mpaka mawaailiano yakakata na namba yake akabadili nimekaa zangu ile namba aliokua anaitumia nikaamua ku i renew kwa sababu ilikuwa ni yangu nikaiweka kwenye simu siku moja kanipigia tukaongea fresh na hasira zake zote zilikuwa zimeisha, nikawa namchombeza na akawa amelainika kweli. Kwa kifupi alikuwa ni mtoto wa Kishua japo alikuwa na jeuri za kitoto lakini kipindi hiki kalainika sana sijui kwa sababu umri umeshaanza kusogea sana ?
Hataki mahusiano ya kimapenzi ila anataka urafiki tu. Nikamwambia urafiki wa nini tena ? Una Mtoto au una mume ? Vyote hana. Na alichonishangaza kuna waist chain nilimnunulia bado anayo.
Kwa kifupi Mabinti kwenye 20's huwa wanakuwaga hawajitambui na hawajielewi kabisa 🤣🤣🤣
Lakini wakifika 30 ndio akili huwa zinaanza kuwakaa sawa aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…