Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mkuu umejoin JF 2010...
Definitely kwa mwaka huo kujiunga JF you must be 40 plus now .. sijui labda kama ulikuwa earliest elites wa internetes...lakini hata hivyo hupungui 35+ of age.

Asa huyo binti anayemaliza chuo leo ..vipi tena!??
Kawaida tu, hata mimi pamoja na mwaka wa kujoin JF ila hiyo miaka hata sijawaza kuikaribia kwa sasa.

Pia upande wa pili mabinti hawa wa siku hizi wanaangalia Hela, Umri sio inshu kwao.
 
Gonga kvant utasahau kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…