Mpina: 05/2021 Symbion ililipwa bilioni 350 bila kutozwa kodi

Mpina: 05/2021 Symbion ililipwa bilioni 350 bila kutozwa kodi

Symbion mkataba wao ulisitishwa muda wake ulipoisha 2016.

Wakafungua kesi ya madai kwa kigezo cha kuwa na MoU na serikali kuongezewa extension baada ya 2016.

Lakini awakuwa na mkataba rasmi. Magufuli akasema awatolipwa hayo madai na wala awajawai shinda kesi ya hayo madai yao popote.

Ila baada ya Magufuli kutangulia, jamaa naona wamewalipa kimya na kuingia nao mkataba upya.

Personal ufisadi wa aina hiyo, sijui wa kuiba mbolea, hela za halmashauri au zozote za serikali auni sumbui tena.

Ila sasa wakishaiba hizi hela wanakuja nazo huku chini kutunyanyasa raia, hapo ndio ninapoichukia hii serikali.
 
m
Mkataba ulisainiwa bila kufuata utaratibu wakati wa JK na malipo yalifanyika bila kufuata utaratibu awamu hii ambayo JK ana influence.
na ile ya kununua ndege ili sainiwa wapi na lini? kulifuatwa sheria gani za manunuzi kwenye ununuzi wa zile ndege? ujenzi wa uwanja wa chato kuna sheria yeyote ya manunuzi ilifuatwa?
mbona hamkukenua midomo yenu na kusema? acheni nongwa sukuma gaang wapumbavu
 
"mzee WARIOBA ajumuishwe KWENYE kikosi kazi cha mkandala mchakato wa KATIBA mpya ukamilike"
Mwalimu mzima unakuwaje myopic hivyo?! Ndio maana watoto wetu wana upeo mdogo sana kama walimu ndio sampuli!!
Kwahiyo wewe unadhani Warioba kutokuwa kwenye kikosi kazi ndio sababu ya Katiba kutokamilika?!
Na hivi pia huna mpaka sasa taarifa kuwa kikosi kazi kilishakamilisha kazi yake na kukabidhi taarifa yake kwa Rais?!
Nchi hii ngumu sana!
 
Jana namuona Hamphrey Polepole akiangalia golf huko Malawi, kalambishwa asali katulia.
Saa nyingine sisi wananchi inatubidi tuwaunge mkono hawa watu vinginevyo watapewa asali kama Mbowe, nk watusaliti.

Kwanini tusiingie barabarani kuwaunga mkono watu wanjitoa kwa ajili ya nchi yetu?
ni swala la muda tu Tanganyika haitaendelea kuwa kama ilivyo!
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...
Karibu capuchino mzee,nmeingia mujini
Ngoja niyajenge kdg hapa na wazee wa mjini wanipe 1,2,3 nizipate kabla sjarudi chakaaa [emoji1]

Ova
20221104_095324.jpg
 
Back
Top Bottom