Mpina: 05/2021 Symbion ililipwa bilioni 350 bila kutozwa kodi

Raisi anaachaje kujua hilo? Yani Signatory wa mwisho BOT asijue hela ndefu imelipwa vipi ilihali yeye alishasimikwa uraisi?
 
Kwa sasa nchi inafunguliwa mkuu, mafisadi wanalipwa na kuondolewa magerezani na wengine kupewa vyeo nafasi nyeti 😂,,,utasikia dume zima linaropoka "Nani kama mama!"
 
Leo nimesikia bungeni kuna kampuni x ilipewa tenda bandarini ya 104 billion na yenyewe ikauza hiyo tenda kwa kampuni x kwa 40 billion wakabaki na 64 billion hizo pesa zimeenda kwa wajanja wakagawana wakavimbisha vitambi vyao kana kwamba nchi hii ya mababu zao..
 
Kiongozi anayekenua meno kwa mambo ya aina hio ndio haswa anapendwa huko NEC na CCM utawala kwa ujumla. Ukizuia haya tu unaitwa dikteta unayeua uchumi.
 
Jamaa anahangaika na Tozo na muda mwingine utawaona TRA wamejibanza wanakamata watu wasio na Risiti wakati yapo majambazi tena yanapewa na maji ya kunywa kabisa na kodi hayalipi na hakuna atakaeongea hizo mambo unakutana nazo kwenye Ripoti ya CAG ambayo pia ni taarifa tu ila haina nguvu ya kuwawajibisha wakosaji na wezi kama hao yaani wao wanaishauri tu Serikali isiendelee kuibiwa..
 
Sasa mtu anayesimamia Tanesco ndio huyo Makamba, tutegemee maumivu zaidi
conflict of interests hazijawahi kuisha hapa nyumbani Tanzania....... si bado tunamkumbuka yule kiongozi shujaa aliyewaita watengeneza ndege na kukaa nao chumbani bila kufuata sheria yeyote ya manunuzi?
50% ya ndege moja ni shilling ngapi? tulihoji kwann sheria ya manunuzi haijafuatwa au TULIKUBALI KUJINGISHWA NA KUSHANGILIA MINDEGE ILE?
Leo twahoji kwasababu ni kina January Makamba?
 
Bora huyo alijaribu hata kuwagusa kina Singa singa na hayo malipo hungeweza kuyasikia enzi zake lakini siyo hawa wapendwa wako
 
Naona mvaa kobazi una mtetea sana huyu bibi yako mpendwa katika imani.

Waone huruma wazazi wako wanaoliwa na umasikini basi! Uchawa wako kwa bibi hauwasaidii kitu
 

Mtasikia rushwa na habari za rushwa huko na huko. Msifadhaike, kwamaana siku zao zitaendelea kufupishwa.
 
Unawatetea kwavile ni wenzako katika imani?

Mpumbavu kweli wewe!
 
Ninakubaliana na wewe kwa yote uliyoandika hapa, isipokuwa hilo moja la kumfanya Samia awe pembeni mwa mchezo wenyewe, huku yeye ndiye akiwa nahodha.
Huwa nashindwa kuelewa kwa nini watu wenye uelewa mzuri kabisa wa mambo kama wewe, inapofika sehemu ya kulaumu anayestahili lawama huwa inawawia vigumu sana kufanya hivyo.
Badala yake mnabaki kupapasa tu pembeni.
 
Daaaaaaaaaah.
 
Unawatetea kwavile ni wenzako katika imani?

Mpumbavu kweli wewe!
imani yangu na upumbavu wangu vimeingia vipi hapo? huw naogopa kujenga hoja mbele ya mtu mwenye ujinga wa kihalaiki kama wewe. jenga hoja MATUSI HAYATAKUSAIDIA
Nimetukanwa tangu nukiwa tumboni mpaka vyuo vikuu lakini sijawa MJINGA WA KIHALAIKI usiyejipa muda wa kutafakari kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…