Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
mm siyo chawa mkuu. japo ningekuwa chawa nisingekuwa kama weweNaona mvaa kobazi una mtetea sana huyu bibi yako mpendwa katika imani.
Waone huruma wazazi wako wanaoliwa na umasikini basi! Uchawa wako kwa bibi hauwasaidii kitu
Kwani hiyo pesa imelipwa lini mkp unaanza kutuletea hadithi za JPM .Huoni kuwa JPM Anahusika Katika Ulipaji Wa Hiyo Pesa.Soma Mwezi Na MwakaNchi ina matatizo hii...! Hapana aisee!
Ni lini viongozi wetu wataumizwa na hali mbaya za watu wanaowaongoza
Wananchi wanakufa kisa wamekosa huduma bora hospitalini, Majii safi, njaa, ajali zinazosababishwa na miundombinu mibovu
Ni lini hawa viongozi wataanza kuthamini maisha ya wengine na kwamba pazia linalotuzinga Ni zile nafasi tu, lakini sote Ni binadamu na tuko sawa!!.
Ni Kwa nini tunapomkumbuka JPM kunakuwepo mashambulizi makali saana???
Ni lipi sasa kwenu mmefanya ili basi tumsahau mnayedhani hakufanya kitu?
Ndo kutuongezea mzigo wa kodi?
Ndo kutunyima maji na umeme?
Ndo kutuongezea malipo ya kuingiza umeme majumbani?
Aaaah! Semeni, ni lipi sasa?
Tulizoea kuona kila aliyehusishwa na wizi, alitumbuliwa na wengine kufikishwa mahakamani, Kwa sasa kinafanyika nini sasa.?
Naunga mkono kumchana huyo mfia dini, Ila hii dharau uliyonayo kwa raisi haiwezi kukusaidia chochote. Hata umdharau vipi bado ni raisi, tulikataa hizi dharau kipindi cha chuma basi hata sasa hatupaswi kuacha hizi dharau ziendelee.Naona mvaa kobazi una mtetea sana huyu bibi yako mpendwa katika imani.
Waone huruma wazazi wako wanaoliwa na umasikini basi! Uchawa wako kwa bibi hauwasaidii kitu
Ulitanguliza imani hivyo ni lazima ushambuliwe kiimani. Mimi nachowaomba mbadilike, haitokuja kutokea wote tukawa na Imani yenu japo mmekaririshwa kuwa kuna siku wote tutakuaa hivyo. Ni mwendawazimu tu ndio anaweza kuamini hivyo.mm siyo chawa mkuu. japo ningekuwa chawa nisingekuwa kama wewe
ulikubali kujingishwa sasa umebaki na vijimatusi tu na kukimbilia kushambulia imani? jifunze kujibu hoja kwa kutafakari kwanza kabla hujabinua midomo
Mwanangu basi basi inatoshaUlitanguliza imani hivyo ni lazima ushambuliwe kiimani. Mimi nachowaomba mbadilike, haitokuja kutokea wote tukawa na Imani yenu japo mmekaririshwa kuwa kuna siku wote tutakuaa hivyo. Ni mwendawazimu tu ndio anaweza kuamini hivyo.
Haiwezekani ukiona tu mtu ambae sio wa Imani yako unaporomosha matusi, wa Imani yako unamsifia. Hii haikusaidii kitu, zaidi inaongeza ujinga ulionao.
Wafia dini mmekua watu wapumbavu sana, sijui kwa nn
Hii tabia lazima ikomeshwe. mwanzo nilijua ni mwenzetu chamani, kumbe yeye yupo kusupport wale wa Imani yake tu, wasio wa imani yake anawatukana matusi. Huu ni upumbavuMwanangu basi basi inatosha
Take it easy ......
Sisi wakristo ni watu wa kupotezea
Ova
Mwisho wa kuchezewa ni kutafunwaAlafu tunamlaumu TANESCO wakati ni kama mwanariadha amefungwa matofari alafu tunategemea ashinde mashindano.....
Tatizo ni kutokuwa na Transparency madudu kama haya watu wangeona aibu kuyafanya...., We need more transparency na Sio sisi tulipe bali waliofanya / ingia kwenye hii mikataba ndio walipe...
By the way makubaliano ya huko China yakija gundulika kwamba hayafai nani atalipa ? Sisi au hao walioingia hayo makubaliano na Wabunge waliokaa kimya bila kuomba kuiangalia...
Ama kweli Tulichezewa, Tukachezewa na Tunaendelea Kuchezewa Sana....
Na hapo ndipo alipoula wa chuya !! Lakini naamini alikuwa anawachukulia timing ila bahati haikuwa upande wake !!Magufuli hakugusa mwizi hata mmoja wa maana, alikua anadeal na vidagaa kwa kelele nyingi, lakini hakuna fisadi hata mmoja alimgusa. Kamkamata Singa na Rugemalira, lakini kawaacha wanasiasa wenzake ambao ndio walikuwa watoa maamuzi. Inshort alikuwa ni mpenda sifa za bei rahisi.
Duh !!Mwisho wa kuchezewa ni kutafunwa
Bahasha la khaki, Capuchino, funguo za gari na iphone ipo mezani!! Kweli maisha ya mjini ni raha !! Hapo linasukwa dili sio la kitoto !!Karibu capuchino mzee,nmeingia mujini
Ngoja niyajenge kdg hapa na wazee wa mjini wanipe 1,2,3 nizipate kabla sjarudi chakaaa [emoji1]
Ova
View attachment 2406666
Bora huyo alijaribu hata kuwagusa kina Singa singa na hayo malipo hungeweza kuyasikia enzi zake lakini siyo hawa wapendwa wako
Na hapo ndipo alipoula wa chuya !! Lakini naamini alikuwa anawachukulia timing ila bahati haikuwa upande wake !!
Hiyo pesa kalipwa mtu ambaye tunapumua naye na kuamka naye humu humu ndani ya Tanzania