Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Kwa ufupi tu zipo hapo samora karibu na mnara wa askari inafuatana na jengo la IPS Building.
 
Mimi nilimuona live kwenye TV, mpaka tuliokuwa tunaangalia tukasema huyu jamaa kapatwa na nini eti..!!??

Hajui kuwa, unapokwenda public kwenda kufafanua au kujibu hoja za watu hususani kuhusu mambo ya fedha, ni lazima uwe vizuri na uwe na takwimu halisi...

Ukidanganya lazima utakatwa kilimi tu na kujikuta unagugumia badala ya kusema/kuzungumza...

Hiyo ni ishara ya uongo au udanganyifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…