Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Mpina ataka kumuumbua Waziri Mwigulu bungeni, apatwa na kigugumizi, Spika ambana "mi sielewi"

Unapopishana na TRA khs Kodi halali unayotakiwa kulipa,sehemu ya kwanza kupinga hua Ni kwa COMMISSIONER OF TRA then mkishindwana,unaenda kwny hio BOARD, ikishindikana hapo unaenda kwny hio TRIBUNAL, then mkishindwana hapo tena Finally mtaenda kwny COURT OF APPEAL mkuu.
Kwa ufupi tu zipo hapo samora karibu na mnara wa askari inafuatana na jengo la IPS Building.
 
Mimi nilimuona live kwenye TV, mpaka tuliokuwa tunaangalia tukasema huyu jamaa kapatwa na nini eti..!!??

Hajui kuwa, unapokwenda public kwenda kufafanua au kujibu hoja za watu hususani kuhusu mambo ya fedha, ni lazima uwe vizuri na uwe na takwimu halisi...

Ukidanganya lazima utakatwa kilimi tu na kujikuta unagugumia badala ya kusema/kuzungumza...

Hiyo ni ishara ya uongo au udanganyifu...
 
Back
Top Bottom