Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Kwa ufupi tu zipo hapo samora karibu na mnara wa askari inafuatana na jengo la IPS Building.Unapopishana na TRA khs Kodi halali unayotakiwa kulipa,sehemu ya kwanza kupinga hua Ni kwa COMMISSIONER OF TRA then mkishindwana,unaenda kwny hio BOARD, ikishindikana hapo unaenda kwny hio TRIBUNAL, then mkishindwana hapo tena Finally mtaenda kwny COURT OF APPEAL mkuu.