Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili


Hahahahahahaaa!! Na huu ndio ukweli
 
CCM mnacheza ngoma ya kizamani!

CCM na makundi yenu mnaelekea kujivisha Sanda mkiwa hai!

Endeleeni kushindana kuvaa mashungi tu!

Mtakapokuja yatoa, itakuwa ni Too Late!

Dubai itaondoka na CCM safari hii.

Michezo yenu tunaiona, kikosi kazi chenu, kupitia team Makamba hakitampooza Luhaga Mpina!

Ndio kwanza mnamuwekea Petroli ili aunguze vizuri zaidi.
 
Ndio maana kukawa na MAHAKAMA.....

Kwa baadhi ya watu wenye fikra zenye upogo hawaamini kuwa MCHUNGAJI AMA SHEIKH anaweza kubaka na kunajisi.......

Kufikia kumtetea mtu tu kwa kuwa aliwahi kufanya mazuri ama kuhusisha "conspiracy theories" nje ya mahakama nako ni UPOGO WA FIKRA PIA......

Siku 14 hizo....tutajua mbivu na mbichi......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Kifo chacha haijulikani siku wala saa ika.kifo chaja tena awamu hii mark my words
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mh.Jakaya aliambiwa...."CCM ITAKUFIA..." haikumfia.....

JPM alitabiriwa kung'olewa na UKAWA.....haikumfia.....

Mh.Rais Chifu Hangaya atatuachia CCM ikiwa salama salimini hiyo mwaka 2030....Mwenyezi Mungu umhifadhi Rais wetu kipenzi ,aaamin aaamin[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…