Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

Aache kulisha watu matangopori serikali iliyokuwa imefirisika ni serikali ya Magufuli!!!

Sio Sasa huo ujinga haupo
 
Mbona alikuwa hamwambii Magufuli hizi hadithi??
 
Let the Jini come out of the bottle.
 
Hata mishahara serikali inashindwa kuwalipa watumishi wafke
 
Mpumbavu wewe usiyeelewa. Hoja wanayolalamikia ni ukodishwaji wa bandari kwa kampuni ya kigeni kwa miaka 10, nimemueleza siyo jambo jipya TICKS walikuwepo kwa zaidi ya miaka 20. Tatizo liko wapi?

Kama huelewi basi utakuwa pumbavu
Baki na upumbavu wako huku wenzio wanatafuna nchi
 
Hauwezi kusema dola zilikoenda?

Waliopo unashindwa kuwalipa mshahara, hao elfu 35 utawalipa na nini?
ona jinga hili. nyie sukuma gang mungu awalaaan mlitutesa sana wafanyakazi. dah huyu mama Samia Mungu Ampe umri na afya njema. Yule mjinga wa chato alibadilisha kupanda madaraja kutoka miaka mitatu mpaka minne. ila Mama karudisha miaka 3 na tumepanda na mabadiliko ya mshahara yameonekana mwezi huu.
 
Wakishakula hayo matunda hatima yake ni nini?

Siasa zenye visasi ni kansa ya taifa
 
Mpumbavu wewe usiyeelewa. Hoja wanayolalamikia ni ukodishwaji wa bandari kwa kampuni ya kigeni kwa miaka 10, nimemueleza siyo jambo jipya TICKS walikuwepo kwa zaidi ya miaka 20. Tatizo liko wapi?

Kama huelewi basi utakuwa pumbavu
Yaani kukodisha kagati kamoja kwa miaka kumi tu mpina anaita press conference? Mbona yule bilioneya wa marekani tumemkodishia hekta 25,000,000 kwa miaka 100 hampigi kelele. Ni wakati wetu huu sasa tuacheni tulambe asali
 
Mkuu wewe nakujua ni Cuf na japo ulijibanza chama dola kinafiki ili kutimiza azma yako ya mashambulizi dhidi ya Chadema na viongozi wake sasa unaipinga serikali ya Rais Samia unaunga na Sukuma Gang.
 
Zipo bandari Marekani zinaendeshwa na Dubai ports...je wamarekani wamefilisika?
Ngosha ana nongwa na urais wa SSH kama vile anaumia kila yanapofanywa maamuzi anayodhani yanakwenda kinyume na misingi ya hayati JPM.

Ni maisha ya chuki wanazoamua kuwa nazo baadhi yetu, walisema kuwa watu wa karibu wa SSH ndio walimmaliza JPM mpaka leo hawawezi kuweka ushahidi hadharani wanaishia kuumia tu mioyoni wakikosa jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…