Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha Bandari? Tusikubali hili

MPINA AILIPUA VIKALI SERIKALI, "NI HATARI SANA KWA TAIFA, NAWASHINIKIZA TUSIKUBALI HII"​

View attachment 2633454

Nchi yetu imefilisika kipesa inapangisha aka kuwekeza mpaka Bandari?

Ninamuunga Mkono Mpina maneno yake anayo zungumza yana point kubwa.

Uwekezaji wa bandari ni mbovu sana Serikali iangalie sana kukodisha bandari za nchi yetu miaka 10 ijayo Serikali yetu tutakuwa kama Zimbambwe tutafilisika kwa kila kitu na umasikini utazidi kiasi ambacho. Tutakuwa tunaomba omba misaada kwa wafidhili wetu kila siku Mungu asijaalie tusifike huko amin.
Zoba hili ,linaelewa nini zaidi ya Uganga?
 
Mpina kalipwa na Karamagi...
Ilikuja taarifa hapa Karamagi kawapanga wabunge machachari.
M
Karamagi alikuwa mwana hisa Ticts ambao wameondolewa..dili wamepewa Wengine
Mbaya zaidi Karamagi hakutegemea kama atakosa hili dili.... he is in shock.
 
Kwanini CHADEMA muendeleze chuki zenu kwa Hayatu na Kabila lake? ambayo ndilo la WASUKUMA kwanini muwaingize Kabila zima katika chuki zenu
Lini umewahi sikia majukwaani Chadema wanataja Hilo neno Sukuma gang?? Trolls za Mitandaoni hazi reflect msimamo rasmi wa chama. Nimeshakwambia Katibu Mkuu wetu ni Msukuma so hatuwezi kuwa chama kinachobagua watu.
 
Nimemsikia Luhaga Mpina anasema eti tunataka kuwapa DUBAI Bandari zetu waziendeshe?ni kweli haya?

Mi nilidhani tungewapa kwanza private Operations bandari ya Bagamoyo tuone ufanisi wao then ndio tuanze kufikiria haya ya Bandari zingine!

Au ndio ile dhana ya "mtoto msumbufu mpeleke boarding school" asisumbue nyumbani!Is that the best way ya kusolve tatizo la msingi?

Sio Mwinyi,sio Mkapa,sio Kikwete na wala sio Magufuli wamewahi kuota kufanya maamuzi haya!Nini kinasukuma haya maamuzi ya haraka?

Moja ya ishu critical ambayo inaweza kuicost CCM yangu ni hii hapa!Tunahitaji tafakari kubwa sana kabla ya maamuzi haya!

Otherwise,2025 tunatakiwa kuwa na majibu "makubwa" juu ya swali hili nzito la Wananchi!

Tujadili kwa pamoja kwa maslahi mapana ya Taifa!

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Endelea kusikia,na watapewa nyie wajinga bakieni na ujinga wenu .
 
Usisemee 2025, hapa tunagusia maslahi na mustakabali wa nchi yetu. Kama serikali imeshindwa kusimamia wafanyakazi wake itaweza kumsimamia mgeni?
 
Msikia Mpina baada ya Bajeti ya Ujenzi na Uchukuzi kupita!

Hatari sana sana.View attachment 2634170

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Nini hasa Sisi kama nchi tumeshindwa kufanya kuendeleza bandari zetu wenyewe? Ni faida gani tutapata kwa kuingia mkataba huu, ni hasara gani tutapata kwa kuingia mkataba huu kama nchi. Waziri husika atoe majibu yasiyotiliwa mashaka!
 
It's ok kama ataleta ufanisi wa Hali ya juu n tukaona matokeo kuliko sasa hamna wanachofanya mizigo kuchelewa yaan mi naona frsh kabisah hata nchi tukiwapa watu wapge kazi sisi pale juu awepo raisi tu wengine wote tuwatoe ulaya na marekani sisi nikuwakbidhi tu malengo yetu na mahitaji

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
😄🤣
 
Dubai ports wanaendesha Bandar zaidi ya tano USA. .ndo kampuni leading kuendesha bandari duniani..
 
Kwani Ticts haikuwa ya wageni?

Nongwa ni kukaribisha wageni wengine?
Kinachobishaniwa ni aina ya mkataba anaotaka Mwarabu ukilinganisha na ule TICTS,issue siyo ugeni wa mwekezaji.
Msikilize vizuri Mpina hoja yake!
 
mbona TICTS haijaingiza hilo container la kupindua miaka yote hiyo tangu ilipopewa hiyo bandari? Au unadhania hiyo ni kampuni ya wenyeji?

Halafu sisi ndiyo tunalalamika miaka yote hiyo kuwa mambo bandarini hayaridhishi lakini leo tunataka walewale tunaowalalamikia waendelee miaka mingine.
Mkuu mfumo wa mkataba wa TICTS ndiyo sahihi ila huu mfumo unakuja ni intergovernmental Agreement,yaani Mwarabu anakamata kila kitu tofauti na TICTS ambaye amlipewa sehemu ya Bandari Ili aendeshe.
 
Back
Top Bottom