Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Siku hizi wachezaji wanafuata mfumo wa kocha,akionyesha uwezo binafsi ni kama anaharibu, kumbeka enzi za Drogba akiwa Chelsea cross ikipigwa haipoi anaiunganisha, Zidane ana dribble na kupiga mashuti,Rooney wa Man U kipa asogee tu mbele anaunga tu ,tunakoelekea mpira utabadilika sana zaidi hata ya sasa tulipo.
 
Mimi chelsea!! Ila siku hizi hata sina hamu ya kufuatilia! Sijui hata ratiba ya michezo yao!
 
Kwanza mashuti tu ,aisee kuna majitu yalikuwa yanapiga mashuti , yule Roberto Carlos , Gerald nk
Yaani yale mashuti hivi vitoto vya sasa hivi vinaweza tapika nyongo uwanjani
KDB hapigi? Valverde Ton kroos?
 
Mpira wa Sasa watu wanataka matokeo sio vyenga,Mimi Halaand simuelewi hata kidogo ila tukubali anafunga kumzidi De Lima ,amefundishwa kufunga tu..
 
Wewe umeongea pointi Moja kubwa sana siku hizi watu ni mfumo hawakimbiikimbii ukifuata uwezo wako lazima uharibu mipango ya kocha
 
Hatuzungumzii Umri wala Mafanikio ya Timu....acha Ujuaji, mimi nimestick kwenye aina ya Wachezaji wa sasa na kizazi kilichopita na ndio maana ukatoa mifano ya Wachezaji

Suala la Timu kuchukua kombe ni suala la Timu nzima sio Mchezaji mmoja mmoja
Wachezaji wa sasa wako vizuri mno team mzima sio kama zamani wanakuwa best wa 5 kwenye team
 
Ukiona mtu anaandika Kwa jazba ujue Hana point kama wewe nimeshakushika huna pointi umebaki kuandika kashfa kiufupi hujui mpira fuatilia simba na yanga
Mimi.sio kuujua tu Mpira, na kucheza nacheza sana tena kwenye Daraja ambalo hujawahi fika...nakufundisha Mpira

Nature of Players na Spirit ya game imebadilika kwa mpira wa miaka 10 na zaidi nyuma na wa sasa

Clarence Seedorf, Paul Scholes au Andrea Pirlor sikuhizi, vipaji vinaondoka na Messi...na Bellingham bado kucomment tofauti na zamani

Ila kwakuwa wewe ni Mjuaji usiyejua Mpira nakuacha
 
We mpira hujui na hujawahi kuicheza acha uongo wako hapa mijitu ya jamii forum inakuaga miongo miongo sana Sasa kama wewe umecheaa mpira daraja Gani aisee kweli Kuna vituko
 
Si ndio maana namshangaa huyu jamaa , kama haamini akaangalie ile man to man marking ya Pepe Vs Messi
 
Si ndio maana namshangaa huyu jamaa , kama haamini akaangalie ile man to man marking ya Pepe Vs Messi
Kaangalie pia Messi vs van dijk anfield 2019 UEFA champions league halafu mbona unataja wachezaji wa career hii hii kama huyo pepe si bado anacheza europe
 
Eti taka taka zingine aisee wanadamu tumefikia huku kuitana taka taka?
 
Hatuzungumzii Umri wala Mafanikio ya Timu....acha Ujuaji, mimi nimestick kwenye aina ya Wachezaji wa sasa na kizazi kilichopita na ndio maana ukatoa mifano ya Wachezaji

Suala la Timu kuchukua kombe ni suala la Timu nzima sio Mchezaji mmoja mmoj
 
Haya Mjuaji, unatuwekea picha ya Mchezaji hapo ili tukuone unajua mpira...acha Ushamba na Ubishi wa kijinga wewe
We ndio mshamba hujui mpira unataka kuanza kudanganya watu hapa kujisifia eti nacheza daraja ambalo hujawahi kufika kenge Kweli wewe unafikiri humu ni mabumunda wenzio kama huko kwenu kuwadanganya ovyo we mpira hujui kuchambua Wala kuucheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…