Wote hao uliowataja ni takataka ,hamna wa kuingia hata nusu ya hao vijeba niliwataja , acha kujiaibishaSalah Saka halaand Jude mbappe vincus junior Jamal musiala lewandowsk lamine Yamal hao wote ni wachezaji world class player wanacheza kizazi chochote Lana kama hao uliowataja wanamiguu sita ndio Hawa vijana hawatocheza
Ndio maana na Mimi nikasema hao wazee uliowataja waliokua wanakimbiakimbia bila mfumo kama machizi uwanjani ni takataka hivyo tumekubaliana Kila mtu anaona Kwa upande wake ni takataka usifosi tufananeWote hao uliowataja ni takataka ,hamna wa kuingia hata nusu ya hao vijeba niliwataja , acha kujiaibisha
Watu unapenda kutukuza watu wa zamani ila Mimi Huwa sikubari kabisaAaron lennon
Clint dempsey
Darrent bent
Gabby aghobhonlar
adebayor
Miguel perez michu
Yani hao jamaa kwa zaman walikua kama watkins kwa saivi ila utona hao miamba ilikua moto kuliko gene ya sasa ila kwa zaman walikua mid team strikers
Hamna kitu hapoAaron lennon
Clint dempsey
Darrent bent
Gabby aghobhonlar
adebayor
Miguel perez michu
Yani hao jamaa kwa zaman walikua kama watkins kwa saivi ila utona hao miamba ilikua moto kuliko gene ya sasa ila kwa zaman walikua mid team strikers
Hii mada haihusiani na mpira ila umeileta kwenye mpira ukiona mwanaume anaongelea sana hayo mambo ujue Kuna tatizo mahali huwezi kukuta mwanaume wa kweli anatajataja hayo mamboSasa kama Wachezaji wenyewe wamekumbatia mambo ya 🌈 na wanafirwa, unafikiri watacheza mpira wa maana?
Hahaha alisemaje Kane maanaHaya mambo ya kuona wa zamani ndio walikuwa na viwango na kujua kila kitu ndio maana Kane aliwatolea uvivu maveteran wa England
Ali waambia waache kuongea sana maana hata wao hakuna la maana walilofanya tokea 2002Hahaha alisemaje Kane maana
Na kweli hamna la maana mpira sio mdomoni ni uwanjaniAli waambia waache kuongea sana maana hata wao hakuna la maana walilofanya tokea 2002
Walikuwa wanaponda matokeo ya Eng aka waambia bora wao Euro ya juzi kati hapo walifika finalNa kweli hamna la maana mpira sio mdomoni ni uwanjani
We mpira hujui utaonaje ubora wa EPL wakati hujui mpiraKwa mtazamo wangu mpira wa Ulaya ulianza kushuka baada ya Italy kuporomoka kisoka, kuanzia ligi na vilabu vyao hadi timu yao ya taifa.
Italy ndiyo ulikuwa muhimili wa soka la Ulaya na ilikuwa hauwezi kuitwa mchezaji bora duniani hadi uwe unachezea moja ya vilabu vya Italy. Ligi za France na Germany zimeshindwa kuziba hilo pengo la Italy kiufasaha pamoja na kwamba timu zao za taifa zimekuwa zinafanya vizuri.
Nasemaga siku zote EPL haijawahi kuwa ligi bora Ulaya, imepandishwa tu na marketing na kwa kiasi naweza kusema inachangia kuvuruga muelekeo wa mpira wa Ulaya.
We kijana wa mwaka 2000,Watu unapenda kutukuza watu wa zamani ila Mimi Huwa sikubari kabisa
Ndiyo Bangi za chuji anasema ety AUCHO kwake mrembo tu
Hujawaona wakicheza hao na hio ni generation ya 2004-2013Hamna kitu hapo
Wote nimewaona narudia tena hamna kitu ni wachezaji wa kawaida sana tena sanaHujawaona wakicheza hao na hio ni generation ya 2004-2013
Theo walcot
Adel taarabt
Nowdays tuna kina
Leandro trossard
yeremy doku
Delima ana goal ngapi national team?We kijana wa mwaka 2000,
1.Pale Cameroon leo kuna mchezaji kama Samuel Eto'o?
2.Liberia kuna George Weah mwingine kwenye soka?
3.Ile Nigeria ya akina Sunday Oliseh,Jay Jay Okocha na wenzake uliwahi kuiona? Hawa machoko wa leo wa Nigeria uwalinganishe na hivyo vyuma vya zamani?
4.Vile vitoto vibishoo vya Brazil ukisema utafute mwenye uwezo kama wa Ronaldo De Lima au Ronaldinho utampata?
5.Kwenye Muziki wa Pop,leo kuna mkali wa kulingana na Michael Jackson? Vipi kwenye Reagge, yupo anayemzidi Bob Marley,Peter Tosh au Lucky Dube?Huyo Gregory Isaac tu huwezi kumpata.
6.Kule kwenye basketball ninaimani hukuwahi kumuona Michael Jordan.
Hao wailkua wakali kweli sabab mpira haukua na tactic sana gape la anayejua na asiyejua lilikua kubwa sanaWatu unapenda kutukuza watu wa zamani ila Mimi Huwa sikubari kabisa
Ndiyo Bangi za chuji anasema ety AUCHO kwake mrembo tu
We itakua shoga maana hapo umeongelea mashoga watupu wa zamaniWe kijana wa mwaka 2000,