Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Mtoa mada uko sahihi kabisaaa,mm nilikuwa shabiki lialia wa arsenal lkn cku hizi hainishtui tena aisee ifungwe isifungwe yaan hanishtui.Big matches zote za uingereza yaan hazinishtui tena cjui kwann aisee
Sio wewe tu, hata Washabiki wengi wa Uingereza...Die hard fans wanacomment hivyohivyo kule X
 
Ukweli mtupu
 
Watu unapenda kutukuza watu wa zamani ila Mimi Huwa sikubari kabisa

Ndiyo Bangi za chuji anasema ety AUCHO kwake mrembo tu
Chuji hajamkuta Aucho hapo alidanganya pakubwa.
Ila kuna wachezaji wa zamani wanawazidi wasasa ktk prime time zao
 
Mtoa mada uko sahihi kabisaaa,mm nilikuwa shabiki lialia wa arsenal lkn cku hizi hainishtui tena aisee ifungwe isifungwe yaan hanishtui.Big matches zote za uingereza yaan hazinishtui tena cjui kwann aisee
Arsenal ya sasa hv star ni Bukayo Saka. Dogo hana style nyingine zaidi ya kubana wing na mpira aanze kuingia ndani. Very predictable and boring. Sometimes naamini kabisa kuwa ana uwezo zaidi ya hapo ila haruhusiwi kufanya tofauti. Hii kitu kwny African football haipo bado coz makocha bado wameruhusu vijana wacheze kwa vipaji vyao. Bado nakubaliana na mtoa mada 💯
 
Kuwa basi na Adabu, matusi ya nini Bwanamdogo?

Umeshawaona hao Wachezaji waliotajwa wakiwa Uwanjani? Twende taratibu coz umeniambia unaujua mpira vizuri

Sipendi utukane kwasababu utapigwa Ban halafu mjadala hautanoga
Wewe tulishamaliza mjadala BAADA YA kutoka kwenye mada za mpira na kutaka kudanganya watu hapa unachezea mpira kumbe hamna kitu tafuta wa kujadiliana nae sababu hujui kitu na ulishatoka kwenye mada za mpira
 
Hujui mpira kashangilie rede
 
We hujui mpira umeongea pumba tupu
 
We hujui mpira umeongea pumba tupu
Ulimtizama Okocha akiwa anacheza timu gani?
WC ya 2002 Korea Japan uliiona ukiwa kidato cha ngapi?
Ulimuona Robert Mboma akiifunga Ufaransa? Taribo West ? Je? 2006 umeiona Ghana yenye vipaji ya Appiah ikicheza na Brazil? Fainali ya Liver na Ac Milan uliiona? Batistuta umemuona akicheza?
Inshu hapa siyo kukutajia hao wachezaji inshu ya mtoa mada ni ubunifu wa wachezaji na vipaji vyao halisi wkiwa uwanjani.
Mifumo imekuwa kitu muhimu zaidi kuliko vipaji. Kuna ubaya na uzuri wa hii kitu.
Ukuondoa racism Yaya Toure anaingia ktk utata na Pep kwa sababu ya mfumo na siyo kipaji. Pep Mfumo wake unatka kilo chache kwa kiungo. Fergie anakosa vipaji alivyokuwa anavitaka mpk anamrudisha Scholes.
Hata hivyo kulikuwa na wachezaji flops ktk hizo zama pia siyo wooote walikuwa wazuri
 
Hao wachezaji wote uliowataja nimewaona na ni wakawaida sana tena sana acheni kudanganya vijana
 
Kuifunga ufaransa ni issue mbona yule mcameroon kaifunga Brazil

Fainal nzuri za UEFA zipo nyingi tu kuzidi ya AC milan
 
Watu wa betting wameshachoka nae yule bwana habebeki🤣
 
ni kama dunia imeendelea kupoteza ladha yake. AI (Artificial Intelligence) inasababisha kila kitu kiende ki-roboti, roboti.

angalia mtu kama Haland kuna nini mule sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…