IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Kwahiyo baada ya hiyo interview aliyeyuka hapo hapo kama barafu kwamba wakashindwa kuweka mtego wa kumkamata?Kwa hiyo unataka wavamie hapo kwenye interview na kuzua taharuki?
Hata kama wana uwezo wa kufanya hivyo na hakuna wa kuwazuia, nao hawapendi kujaza watu, wanaangalia mazingira rafiki.
Nimekuelewa sana! Kauli nzito hii."We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."
Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
Kama ana akili huyu Sativa angelikaa kimya tu.Habarini wanajukwaa,
Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus.
Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe.
Sativa aliendelea kusema kuwa Faustine Mafwele na genge lake wana-unfinished business naye na kuongeza kuwa iwapo lolote litamkuta basi Mafwele anahusika.
Soma Pia: Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?
Ivi dogo kwann asiende uhamishoniHabarini wanajukwaa,
Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus.
Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe.
Sativa aliendelea kusema kuwa Faustine Mafwele na genge lake wana-unfinished business naye na kuongeza kuwa iwapo lolote litamkuta basi Mafwele anahusika.
Soma Pia: Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?
huyu jamaa anatafuta tu kiki nani atathibitisha kama kweli anatishiwa na huyo mafwele na wanawasiliana vipi ? nani anayemwambia hayo maneno? yaani mtu kaamua tu kuongea mnamsikiliza na kumuamini? atuonyeshe ushahidi kama kweli ameambiwa hayo maneno ili ashughuikiwe mafwele siyo mtu kuambmua tu kusema tuamini kama n kweliHabarini wanajukwaa,
Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus.
Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe.
Sativa aliendelea kusema kuwa Faustine Mafwele na genge lake wana-unfinished business naye na kuongeza kuwa iwapo lolote litamkuta basi Mafwele anahusika.
Soma Pia: Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?
ni kweli hana lolote sasa hivi atuambiewanawasiliana vipi mpaka amwambie hayo manenoHuyu anatafuta umaarufu usio na maana
Kisayansi, hicho anachofanya ni kitu sahihi kwa huyo mtu. Hii ni tiba nzuri zaidi kwa madhila yale ambayo ameyapitia, hiyo ni hatua nzuri katika uponyaji wake kutokana na mkasa mzito aliopitia.Kama ana akili huyu Sativa angelikaa kimya tu.
Usikute wewe ndio Faustine Mafwele mwenyewe.Ingekua kweli wanamtafuta wangeshampata hana ulinzi huo wa kuwindwa kila siku na asipatikane, kama hadi muda wa kufanya interview anao basi hakuna anaemtafuta
Mr John , hii statement nzito sana kutoka kwa late form ANC leader."We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."
Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
Well Noted Mkuu....Natamani kujua huyu mafwele ni nani na ana impact gani hapa nchini,kwa sababu huyu kijana ameokotwa amejeruhiwa vibaya kiasi samaia akatoa hela za matibabu na mara zote anatamka aliyemtendea hayo ni huyu mafwele.
Kuna ugumu gani kama kuna uchunguzi unaendelea wakaanza na huyu mtu?serikali inasubiri aumize wengine iseme itamtibu tena?ana uchawi wa nchi gani huyu maana hata kama ameloga basi huo uchawi siyo wa sayari hii.
Na akitoweka utasema alitembea na mke wa mtu kwahiyo katekwaIngekua kweli wanamtafuta wangeshampata hana ulinzi huo wa kuwindwa kila siku na asipatikane, kama hadi muda wa kufanya interview anao basi hakuna anaemtafuta
Una akili timamu?Aende polisi kutoa taarifa
Hiyo umesema weweNa akitoweka utasema alitembea na mke wa mtu kwahiyo katekwa
Kosa alilolifanya ni kufungua ( ) ya mtangulizi wake na kuwafanya watu wajiachie pasi kujua mtz ukimkaribisha ukumbini lazima apenue panzia ya chumbani ili aone kilichopo uko ndani.Huyu bibi kaharibu sana amani ya nchi.watu wanaishi Kwa hofu Kila kukicha
Ni Bora umesema umesikia. Operation ya Mkiru ilikuwa ni military. Huyo yupo polisi. Halafu planners wa operation za ndani ni ngumu kuongozwa na mtu mmoja maana zinahusisha vyombo vingi vya ndani. Pia, operation za kivita haendi polisi kuongoza. Uwanja wa vita unavyeo vyake vya kijeshi na si kipolisi.N
Nasikia huyo mafwele ndio aliowakimbiza majambazi Arusha,,panyaroad dar na wale wahuni wa mkuranga na kibiti
Na wewe usijitoe ufahamu, aende polisi wakati anayetaka kumuua ni polisi?Aende polisi kutoa taarifa