Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

Haujui kama polisi nalo ni jeshi mkuu
 
Kifo kikimkosa mtu maramoja ni ngumu sana kumpata mara ya pili.. Lakini wauaji wakidhamiria unaondoka maana taswira na pumzi yako huwaacha na kihoro kikubwa hasa kama umewajua
 

Aiseeee
 
Huyu naye mshamba tu,Kama anavielelezo ende ubalozi wa
Huyu naye mshamba tu,aende ubalozi wa Marekani au wa inchi za umoja za Ulaya akaombe hifadhi kikubwa awe na ushahidi na vielelezo na msg anazotishiwa
 
Zikishaandikwa zipelekwe wapi? Unatambua madhara ya kuwa na wananchi wasiyojitambua? Mwananchi ambae kiongozi aliyemchangua anamtukana ila yeye anapiga makofi na kushangilia.
Acheni kuwabebesha mzigo mzito akina Mbowe; hao watekaje wanafaamika kwani hawafanyi kazi wenyewe.. Wana marafiki, watoto na wazazi pia wanatambua kabisa kazi ya ndugu yao.
Serikali kama haitaki kuwalinda wananchi wake basi wananchi mmojammoja ajilinde.
 
Katika familiya za ajabu basi ni hii familiya ya SATIVA, yaani ndugu yao anatishwa na watekaji wao wapo kimya ,mkuu wa hiyo familiya Toka hadharani onesha kutokukubaliana na anayofanyiwa mwana familiya yako.kisha ahadi kulipiza kisasi kwa lolote bayo litako mpata mwanafamiliya.
 
Kwahiyo baada ya hiyo interview aliyeyuka hapo hapo kama barafu kwamba wakashindwa kuweka mtego wa kumkamata?
Hakuna anaemtafuta wala nini anajitisha mwenyewe
Kwa hiyo ni lazima wamkamate tu baada ya interview? Si wanaweza wakamuacha tu baada ya siku mbili ndiyo wakamchukua?

Kwamba wanashindwa kwenda kumtekea hata nyumbani kwake hadi walazimike kumteka tu kwenye intavyuu?

Halafu wewe una uhakika gani kwamba hawamtafuti?

Wewe ndio Mafele au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…