Uchaguzi 2020 Mr. Much know na Kachero waamsha wenge upinzani: Vurugu zimeanza tayari

Eti Mambo yao kwatu.....huwani wanavyoweweseka kujibu hoja kuntu za Kipontio Pilato!
Hakuna kitakachobaki Mwaka huu!
 
Mr know all ataaibika sana, anapanda mnazi na bukta bila hata nguo ndogo ndani. Iyo oktoba 28 anavunja kiuno huyoo ubelgiji
 
😍😍😍😍 Nimeupenda uandishi wa namna hii......Ha ha haaa ! mti wa msubawanga (taja kabila) !! I like this (kwa msisitizo).

Asante sana mleta mada.

Hapa moderators na mapanga yao lazima wapite mbali.
Ukweli, nadhani na wao wanapenda nyuzi za namna hii ili wapunguze stress za kuwinda wavuruga jukwaa. ha haaa haaa!
 
Kama Ni kweli, kwanini cheamani asiingie mzigoni mwenyewe ili apate hao wabunge 20? Mbona 2015 asilimia kubwa aliongea yeye na siyo White hair?
Wakati ule hela ziliongea,sasa unataka cheamani ahangaike pakavu😳?
 
Mr. No everithingi atajua kilichomtoa kanga manyoya hiyo 0ct 28.Jpm tano tena.
 
Membe aende zake...
Baadhi ya binadamu wa JF wabaya sana....!Nikikumbuka namna hao binadamu walivyokuwa wana'mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa' ndugu Membe hapa jukwaani yaani hata siamini ninachokisoma hapa jukwaani. Wengine, walibadiri hadi Avatars zao hapa JF na kuweka avatar za picha za ndugu B. 'Camillus', huku wakikoleza na hash-tags za #Twende na 'Jamaa' 2020. Hizo avatar sioni hata moja!

Mshana Jr , Mkuu, upo?

Kwa heshima kubwa naomba utoe tathmini ni nini kimetokea juu ya Mtanzania mwenzetu Ndugu Benard kisiasa.

Muda ukikutosha tufafanulie zaidi juu ya huyu ndugu yetu amekwama wapi; wakati juzi kati tuliambiwa anaadaa baraza la mawaziri.

Karibu
 
Mkono mtupu haulambwi. Huyu Mr. No everithingi kapata kutoka kwa beberu!!
Sawa huenda akawa nazo Ila ndoivyo sasa lazima azibanie,hawezi kuingia kichwakichwa wakati anajua kabisa Hana guarantee ya kushinda uchaguzi😂.
 
tatizo la hivi vyama ndio maana sioni tofauti na chama tawala maamuzi yanatoka kwa viongozi wakuu badala ya wanachama, haiwezekani Seif atangaze kumuunga mono Lissu bila vikao vya chama kukaa pamoja au Lissu atangaze kumuunga seif bila vikao vya chama kukaa pamoja wote ni walewale suluhu tupate wagombea binafsi ili tuondoka na hivi vyama vya miungu watu.
 
Uasi uliopo ndani ya ccm ni mkubwa kuliko tunavyoaminishwa...!!
Hadi imfikie hatua mgombea anamlilia marehemu...
 
Mr know all ataaibika sana, anapanda mnazi na bukta bila hata nguo ndogo ndani. Iyo oktoba 28 anavunja kiuno huyoo ubelgiji
Hachomoki anasubiliwa mtaa wa bibi Titi na pilato
 
Huyu afisa kipenyo hana chochote chx maana hats akiavhws aendelee na kprni Hana wafuasi kabisa , kwanza kaidha shtukiwa ni pandikizi amefeli vibaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…