Amani Msumari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,830
- 972
- Thread starter
- #101
Kabisa mpendwaHaka kahabari kabundi kanatufundisha mengi😆😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mpendwaHaka kahabari kabundi kanatufundisha mengi😆😆😆
Furaha ni muhimuDu! Tunapenda kujifurahisha sana. Ila !!!!
Eti Mambo yao kwatu.....huwani wanavyoweweseka kujibu hoja kuntu za Kipontio Pilato!Wanabodi,
Tujiandae kusikia chochote kutoka kwenye viunga vya siasa za Upinzani. Bundi ametua kwenye mti wa mzambarau halafu akaruka na kwenda kutua mti wa msumbawanga (taja kabila).
Kule kwenye mti wa mzambarau, kachero hashikiki hatamaniki. Unaambiwa amevimba Kama koboko. Kasema Kama mbwai na iwe mbwai yeye ndie mpeperusha fulagi. Nyepesi anahahasa kutaka suluhu ila kachero hataki kusikia ukizingatia keshaingiza pensheni yake huko kununua mbolea na viatilifu vingine vya kuukuza mti wa mzambarau.
Kule kwenye mti wa msumbawanga, unaambiwa Mr. Know Ol hafuati maelekezo Wala utaratibu. Amesema yeye ni alwatan almaarufu. Yeye ndio kajiweka juu ya kila kitu na ndio maana inasemekana cheamani na KM wamesusa kimtindo. Mr No Everithingi anaonekana kuwa mzoefu wa mapambano ya kipontio Pilato ila n mwepesi mithili ya unyoya wa kuku yanapokuka masuala ya kikaisari. Cheamani alisikika akisema "mwaka huu Kama nitapata wabunge 20 itakuwa muujiza".
Haya jogoo ameshawika, upande wa pili wazee wa mchicha, matembele, sukumawiki na spinachi nasikia mambo yao kwatu. Wanateleza Kama wako kwenye mgongo wa ngisi. Sasa hivi wamekodisha mwewe wanampanda na amewaongezea umaarufu.
Tusubiri
Hili ni la dogo janja buanaGuu kama la dogo jinga hivi.
Kwaiyo baada ya kuvuna pesa za kachero wanamchinjia baharini [emoji28][emoji28][emoji28]
Wakati ule hela ziliongea,sasa unataka cheamani ahangaike pakavu😳?Kama Ni kweli, kwanini cheamani asiingie mzigoni mwenyewe ili apate hao wabunge 20? Mbona 2015 asilimia kubwa aliongea yeye na siyo White hair?
Mr. No everithingi atajua kilichomtoa kanga manyoya hiyo 0ct 28.Jpm tano tena.Wanabodi,
Tujiandae kusikia chochote kutoka kwenye viunga vya siasa za Upinzani. Bundi ametua kwenye mti wa mzambarau halafu akaruka na kwenda kutua mti wa msumbawanga (taja kabila).
Kule kwenye mti wa mzambarau, kachero hashikiki hatamaniki. Unaambiwa amevimba Kama koboko. Kasema Kama mbwai na iwe mbwai yeye ndie mpeperusha fulagi. Nyepesi anahahasa kutaka suluhu ila kachero hataki kusikia ukizingatia keshaingiza pensheni yake huko kununua mbolea na viatilifu vingine vya kuukuza mti wa mzambarau.
Kule kwenye mti wa msumbawanga, unaambiwa Mr. Know Ol hafuati maelekezo Wala utaratibu. Amesema yeye ni alwatan almaarufu. Yeye ndio kajiweka juu ya kila kitu na ndio maana inasemekana cheamani na KM wamesusa kimtindo. Mr No Everithingi anaonekana kuwa mzoefu wa mapambano ya kipontio Pilato ila n mwepesi mithili ya unyoya wa kuku yanapokuka masuala ya kikaisari. Cheamani alisikika akisema "mwaka huu Kama nitapata wabunge 20 itakuwa muujiza".
Haya jogoo ameshawika, upande wa pili wazee wa mchicha, matembele, sukumawiki na spinachi nasikia mambo yao kwatu. Wanateleza Kama wako kwenye mgongo wa ngisi. Sasa hivi wamekodisha mwewe wanampanda na amewaongezea umaarufu.
Tusubiri
Baadhi ya binadamu wa JF wabaya sana....!Nikikumbuka namna hao binadamu walivyokuwa wana'mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa' ndugu Membe hapa jukwaani yaani hata siamini ninachokisoma hapa jukwaani. Wengine, walibadiri hadi Avatars zao hapa JF na kuweka avatar za picha za ndugu B. 'Camillus', huku wakikoleza na hash-tags za #Twende na 'Jamaa' 2020. Hizo avatar sioni hata moja!Membe aende zake...
Kibuyu wanatemnea nacho mwamakula na katimbaUmesahau kuongeza sentensi kuhusu waganga wa gamboshi ili kunogesha hekaya hii.
Mkono mtupu haulambwi. Huyu Mr. No everithingi kapata kutoka kwa beberu!!Wakati ule hela ziliongea,sasa unataka cheamani ahangaike pakavu😳?
Sawa huenda akawa nazo Ila ndoivyo sasa lazima azibanie,hawezi kuingia kichwakichwa wakati anajua kabisa Hana guarantee ya kushinda uchaguzi😂.Mkono mtupu haulambwi. Huyu Mr. No everithingi kapata kutoka kwa beberu!!
Hachomoki anasubiliwa mtaa wa bibi Titi na pilatoMr know all ataaibika sana, anapanda mnazi na bukta bila hata nguo ndogo ndani. Iyo oktoba 28 anavunja kiuno huyoo ubelgiji