Mr. Paul Makonda, kama Rais hajakuachia hata mlinzi mmoja akulinde, basi teuzi utazisikia kwenye Tv tu

Hakuna anaye teseka kwa Makonda kuendelea kuwepo kwenye uongozi, bali watu wanacho hitaji ni kuona anaongoza kwa weledi pasipo ubaguzi na kuwabeza wananchi wanao mkosoa.
 
Hakuna anaye jali kurudi kwake kazini, bali tunacho shukuru ni kuwa sisi wananchi tume waonyesha wateuzi wake kuwa hatumtaki.
Dont talk too much,,that man is a comeback kid...
 
Cyprian Musiba na Le mutuz wamemletea Waganga wa kienyeji na ndumba kibao wanataka ndiyo wawe walinzi wake kwa mda mpaka fitna zao za kumhujumu ndungulile kumpakazia uongo zitimie jina la Bashite lilejeshwe Kigamboni wafanye uchakachuaji waibe kura awe mbunge baadae awe waziri ama Naibu spika apewe Ulinzi mkubwa zaidi. hilo ni lengo la kwanza na lengo lao la pili ni kuomba Teuzi ya kuwa Balozi South Africa, au Namibia au Botswana ikishindikana apewe kitengo ikulu kabsa au awe mkuu wa mkoa wa Dodoma ingawa cyprian Musiba kasema anaweza kufanya muujiza wa Dunia ukashangaa Bashite anarejeshwa kuwa RC wa Dsm tena, Le mutuz sasa wanakula pesa za Bashite kwa bidii kubwa huku wakiendelea kumpa matumaini yasiyo na uhakika.
 
Siku hizi Dar iko poa kabisa. Hatimaye wana-Dar es Salaam tumepata kiongozi anaye anyejua kazi yake.

Mhe Kunenge Abubakar mkuu mpya wa mkoa wa Dsm ni kiongozi msomi(learned), mwenye ujuzi na kipaji cha utawala, mpole, msikivu, mcha Mungu, huheshimu marika yote! Hana kinyongo wala kiburi, hajawahi kulewa madaraka na kuyatumia vibaya (he is industrious, laborious, mannered, dutiful, ready to listen and act on issues and many more)!
 
Ni sheikh gani huyo mwenye ulinzi wa majini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…