Mradi wa Bagamoyo: Hujuma Tanzania na ushindi kwa Kenya na Rwanda

Sijawahi kumwita mheshimiwa ZK kuwa bogus hata siku moja. Ila nimekuwa nikipitia mambo mengi anayoandika mengine ninakubaliana naye lakini mengi sikubaliani na mitizamo yake na hasa hii ya kipindi hichi ambacho hayumo kwenye kamati za bunge.

Kwa hili la Bandari wewe upo Lamu Kenya? au upo Rwanda kwa rafiki wa Magufuli? maana Bagamoyo haupo
 
"Pale Industrial Complex kungetokea mambo mawili!! Hivi sasa Uchina labor cost inapanda kila uchao! Kutokana na hilo, kulikuwa na uwezekano mkubwa Mchina akaifanya Bagamoyo Free Economic zone kama sehemu ya kuzalisha baadhi ya bidhaa zake za kulisha Afrika na maeneo mengine"

Tumekosa tu viongozi makini ili kutatua hali ya uchumi wetu ila Tz ingekua industrial superpower katika Africa hi Ndege flyover zingekuja kama mahitaji ya industriazation
 
Bandari uenye uwezo wa kuingiza meli kubwa
 
Sijawahi kumwita mheshimiwa ZK kuwa bogus hata siku moja. Ila nimekuwa nikipitia mambo mengi anayoandika mengine ninakubaliana naye lakini mengi sikubaliani na mitizamo yake na hasa hii ya kipindi hichi ambacho hayumo kwenye kamati za bunge.
Kila Mbunge ni mjumbe kwenye Kamati za Bunge.....Kwa hiyo Zitto yupo kwenye Kamati za Bunge
 
Kuna Meli gani kubwa duniani kwa sasa ambayo haziwezi kutia nanga kwenye bandari ya Dar?
Sikiliza hiyo video, kina cha bandari ya Dar Ni kikubwa zaidi na kinao uwezo wa kuhudumia meli ya ukubwa wowote duniani

Zitto anafikiri Watanzania wajui kitu. Yeye ndiye anaye jua. Bandari ijengwe Bagamoyo yote iwe chini ya wamiliki kwa miaka 99yrs. Aturuhusiwi kufanya chochote Kule ata ulinzi ni wao muda huo wote
 
Kagame aliwahi kumwambie Kikwete yafuatayo:-

" I will Just Wait For You At the Right Place And I will Hit You, "

MWISHO WA KUNUKUU.
This is the hit he was waiting for
 
Ni ngumu sana ku recruit watu kuwa majasusi wa kiuchumi wakati hata hawaelewi uchumi na mambo ya biashara.Leo hii ukiuliza mtu yeyote kuhusu uelewa wao wa Tiss watakwambia ni kuteka na kulinda rais sasa unaokoteza uvccm na waganga njaa wengine huko vyuo vya ajabu ndio wanakuwa washauri nchi itapata nini kama sio makombo?
Mimi binafsi namlaumu sana Jk kwa kutoyapa msukumo mkubwa mambo ya mradi wa bagamoyo sez,mradi mji mpya kigamboni,katiba mpya na kuachia nchi kwa wajamaa wasio na exposure ya biashara,uchumi wala mabadiliko yanayoendelea duniani
 
Ongezeko la kukosa uzalendo lipo sasa na wajinga CCM ndiyo kwanza wamezidi, hiyo mikataba kwani si ingeweza kurekebishwa haraka kama kweli siyo kusaka 10% wakagoma kutoa, miradi yote ya CCM siyo mawazo ya watanzania ndiyo maana haina uzalendo na imejaa 10% za wajanja wachache, hivi visingizio vyako hapa havina mashiko watanzania wa sasa siyo wajinga wanajua sinema zote za CCM wanafahamu hakuna mzalendo huko kila mmoja yupo kwa masilahi yake binafsi ingawa sasa CCM ipo hata kwa masilahi ya Kenya, Tambua kuwa huo mradi magufuli hautaki na kama angeutaka hataka angekaa chini na Wachina na hao waarabu wangerekebisha mikataba na kuwekana sawa mradi uanze mara moja.
 
Zitto ni kichaa. Anafikiri Watanzania wajui kitu. Yeye ndiye anaye jua. Bandari ijengwe Bagamoyo yote iwe chini ya wamiliki kwa miaka 99yrs. Aturuhusiwi kufanya chochote Kule ata ulinzi ni wao muda huo wote

Watanzania wapi unawasemea? Kama ni watanzania hawa basi wao wanajua mikataba ikiwa na mapungufu au kasoro hujadiliwa na kukubaliana kile chenye masilahi kwa pande zote.
 

Bandari ya Bagamoyo iikianza hakuna mtu ataenda Dubai Darban Lamu kutoa mizigo yake Nchi nyingi zitaitumia hiyo Bandari na ina faida kuliko Ndege za kununua kwa cash wajanja wakala 10% kimya kimya.
 
Kuna Meli gani kubwa duniani kwa sasa ambayo haziwezi kutia nanga kwenye bandari ya Dar?
Sikiliza hiyo video, kina cha bandari ya Dar Ni kikubwa zaidi na kinao uwezo wa kuhudumia meli ya ukubwa wowote duniani
Kwenye hiyo video sijasikia hata neno moja kuwa kina cha bandari ya dar ni kirefu na meli yeyote kubwa dunian inawez Kutia nanga

HAKUNA
 
Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi hata ZK hajui return ya bandari, na risk ya Bagamoyo kuwa chini ya muwekezaji yeyote yule; awe China, USA, UK, France.

Serikali ya Tanzania hasa taasisi rais wamefanya jambo la msingi kuliko mtu yeyote anavyoweza kueleza na kuandika.

Mfano, Hapo Bagamoyo pakijengwa kwa China kumiliki atakachokifanya ni sabotage to Dar Port hapo Tanzania inakosa mapato yote ya Tanga, Mtwara na Dar Ports.

Viva Taasisi ya Rais, TISS na wote waliohusika kupindua meza.

Kwa hili naipongeza sana Tanzania.
 
TUSUBIRI ZITTO ATAKAPOKUWA RAIS WA TANZANIA ATAJENGA BAGAMOYO. JPM AJUI KITU KABUSA. 2035 TUTAMPA NCHI

Moshi wa Ruangwa umeisha? maana sidhani hao wamiliki wa huo moshi watakubali afike 2035 huku Bashite kipindi hicho ni waziri mkuu
 
minyoo

Hujachungulia mikataba iliyokuwa mezani labda ungeelewa au ukatoa machozi.

Viva Taasisi ya Rais , TISS na wote waliohusika kupindua meza.
 
Sasa kwa nini viongozi wetu wasingekaa kujiridhisha tuu na strategic plan ya mradi na nini china anataka,kama wewe umefahamu mpango mkakati wa china kwa bagamoyo hao tisa hawayajui haya kumueleza mkuu? Tumepoteza moja ya fursa kubwa ya kuwa kama Singapore na shenzen

Mimi nilitegemea kama unaona kuna shida mnarekebisha sio ku abandon,afu kwani hii nchi haina tume ya mipango ili kuratibu mipango mikakati na miradi ya kitaifa ambayo kila rais akija ni lazima waitekeleze kwa mujibu wa mipango badala ya kila mtu kutekeleza atakachoota usiku? Haya mambo ya zima moto hadi lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…