Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

Yaani unatetea miaka 50 ya China kulitawala eneo letu Mbegani Bagamoyo bila kujua wanalalaje, wanaamkaje na wanafanya nini hapo, siyo??
Nyinyi mlilishwa matango pori na mwendazake, mkakubali ku-swallow a line, hook and the sinker without questions asked - mna zero kwenye issue moja tu eti wachina hawati kulipa kodi for almost half a century - kuna ukweli gani kwenye madai hayo na ni kodi gani wanayo isema hapa?

Yaani Watanzania tunakubali kopoteza mradi mkubwa wa aina yake barani Afrika, mradi ambao ungehusu mpaka ujenzi wa viwanda vya kisasa pamoja na high technology village kwa ajili ya utafiti na uundaji wa mashine na products nyingi za teknolojia mpya - badala ya kuchangamukia fulsa sisi tunajiingiza kwenye malumbano yasio na tija kwa Taifa letu, wenye uhitaji ni sisi sio Wachina tukiwazenguwa wanakwenda kuwekeza kwingine kwa nini wapoteze muda wao watu ambao hawajui wanataka nini hasa - kaeni na pori lenu la Mbegani likiwa dormant tuone lita generate revenue kiasi gani likiwa halitumiki.
 
Turudi Bagamoyo sasa, Mamilioni ya ajira yangepatikana kuliko kukimbilia Chato kuwekeza visivyoeleweka
 
Tumuamini Nani Sasa? Mjadala mpana wa kitaofa unahitajika...wachumi wa.miundombinu njooni haraka mtusaidie
 
Mkuu, Kwani kuna shida, ni vyema sasa Mkataba huo ukawekwa mezani ili kuondoa utata
 
Magufuli ameshaondoka! Tutaurudisha tu ule mradi. Kodi itakayo patikana, itatumika kuboreshea huduma mbalimbali za kijamii. Mtake msitake. Ccm ni ile ile.

Mbona gesi asili mmewapa! Iweje muwanyime hiyo Bandari?
Hiyo gesi asilia sisi tunapata nini? Kama hatupati kitu Kuna haja gani ya kuwapa na bandari?
 
Acha ujinga mkuu wewe unafikir mchina akiwa anabandar kubwa Alafu huruhusiw kumuhoji unahis atakunyima kod tu?
Apo jua Kuna Rasilimali ZETU nyingi zitaibwa pia Bandari yetu ya Dar itabid iwe kama Ile ya tanga mana itakua haifanyi chochote cha maana

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Unahis unawashinda akil wachina

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Naona imekuwa kesi sasa - Kuondoa huo utata - wachapishe hiyo mikataba hapa hadharani kila mtanzania aone - ili tujue mbichi na mbivu - vyombo vya habari vipo kibaao hata online tutasoma . maana waliouona ni wachache hizo video za shenzaen na sisi wazitume hata youtube tuzione na muhimu hayo masharti!! ni yepi! maana kila mmoja anakuja na yake tumwamini nani? MNATIZINGUA!!
 
Alafu ujenzi ukiisha?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mjadala wa kina ifanyike, hoja za Jpm zijibiwe pia.Tusidanganyike...
 
Hayo ni maswali mambo ya ujinga mkuu si majibu. Kwangu Majibu ya hayo maswali ndo yataonyesha kama mradi una maana au ni wa kipuuzi. Hayo majibu unayo au unataka tujibizane kiporojo porojo? Kama umeusoma mkataba ukaona tutapoteza naomba unipe hayo majibu ya maswali niliyouliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…