unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Hivi mlimwamini Magu kuhusu masharti ya huu mradi? Kumbe kuna watu walikuwa wanamwamini kiasi hiki?
Ukweli ni kwamba Magu ali exaggerate masharti terms za huu mradi. Tafuteni ukweli mtajua
Na hawezi patia yote kwa kua alijua mwanadamu . Yaani wanavyomgeuka si mchezoHata kama JPM kuna mengine alikosea, ila siyo yote tuwe makini sana,tuogope kufanya maamuzi tukiwa na hasira sana au furaha, baadaye tutalia......tunahitaji umakini sana
Sikujua kwamba uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kiasi hikiView attachment 1745616
Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi.
Yafanyike maandalizi mapema na washirika wote wakae katika mazungumzo ili hatimae mradi uanze kazi mara moja.
Ikumbukwe mradi huu ukikamilika utakuwa ni miongoni mwa miradi mikubwa sana Afrika Mashariki na utaleta manufaa makubwa sana siyo tu kwa watanzania na watu wa ukanda wa Pwani bali pia hata nchi jirani zitanufaika.
Habari sijui za kusema mradi utaua bandari ya Dar es salam hazina mantiki kabisa kwa sasa. Tusonge mbele tujenge taifa letu.
Pesa haipatikani kwa kodi tu. Kuna makato mengine mengi tu ambayo tunaweza kupata kwa gharama za huduma mbalimbali. Vilevile wafanyakazi watakaoajiriwa hapo watalipa kodi na soko la bidhaa zetu ghafi litaongezeka.Yaani miaka 50 nchi haichukui Kodi, haiendelezi bandari nyingine, haina mamlaka ya kuhoji na kukagua vitabu vya mapato na matumizi vya mchina.
BIG NOOOOO
Magufuli ameshaondoka! Tutaurudisha tu ule mradi. Kodi itakayo patikana, itatumika kuboreshea huduma mbalimbali za kijamii. Mtake msitake. Ccm ni ile ile.
Mbona gesi asili mmewapa! Iweje muwanyime hiyo Bandari
Yaani unatetea miaka 50 ya China kulitawala eneo letu Mbegani Bagamoyo bila kujua wanalalaje, wanaamkaje na wanafanya nini hapo, siyo??Pesa haipatikani kwa kodi tu. Kuna makato mengine mengi tu ambayo tunaweza kupata kwa gharama za huduma mbalimbali. Vilevile wafanyakazi watakaoajiriwa hapo watalipwa kodi na soko la bidhaa zetu ghafi litaongezeka.
Tuwekee hapa huo ukweli tuujueHivi mlimwamini Magu kuhusu masharti ya huu mradi? Kumbe kuna watu walikuwa wanamwamini kiasi hiki?
Ukweli ni kwamba Magu ali exaggerate masharti terms za huu mradi. Tafuteni ukweli mtajua
mkuu wachina sio watu Pakistan wanalia,congo wanalia, kenya wanalia zambia wanalia hizo sample ukipata muda jionee miladi waliyofanya huko ni dhuluma kubwaSio 99.
Ni 50.mazungumzo yapo.
Ndiyo ivyo tena, ila pamoja na mapungufu yake ila tunamuhukumu, kuna wengine alikuwa nao na inawezekana alikula naoNa hawezi patia yote kwa kua alijua mwanadamu . Yaani wanavyomgeuka si mchezo
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Hivi huyu Maza ana habari kuwa tunajenga nchi kwa wivu mkubwa sana ama ni mwendo wa kugawa raslimimali zetu kama kawaMtutolee upuuzi
Hii nchi imejaa mazwazwa sana kiongozi, bado kuna watu wanaamini kila kitu alichokuwa akikizungumza Jiwe ni cha KWELIHivi mlimwamini Magu kuhusu masharti ya huu mradi? Kumbe kuna watu walikuwa wanamwamini kiasi hiki?
Ukweli ni kwamba Magu ali exaggerate masharti terms za huu mradi. Tafuteni ukweli mtajua
Kunywa juice ya ndimu ndugu. Mradi unarudi na mamilioni ya ajira yanaenda kutengenezwa
Jamaa wanatuona mafala sana.Miaka 99 kwa mchina bila kulipa Kodi? Big no