Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni CCM hii miradi ni ya kihunihuni.Ndio hiyo miradi mikubwa inayopingwa na ufipa!
[emoji38][emoji38][emoji38]Kama kuna watu wana fikra za kipuzi hivi, bora turejelee kaulimbiu yetu ya miaka ile kuwa ''kama vp bora nchi uizwe kila mtu apewe chake''
Nani kakwambia huo mkataba unasema hivyo? Majeshi yetu lazima yatakuwepo kulinda mpaka yetu, police watalinda usalama kama kawaida. Kuna toxo ambazo haziepukiki... Mdifikiti kuwa JK mjinga mpaka akaingia Choo cha kike!!Yaani unatetea miaka 50 ya China kulitawala eneo letu Mbegani Bagamoyo bila kujua wanalalaje, wanaamkaje na wanafanya nini hapo, siyo??
Acha matusi.Hupaswi kujibiwa kwa hoja, unafaa kuitwa LISENGE LA TAIFA
Mahruuni mkubwa.
Mumeambiwa maungo mkayaamini?Na wewe unatetea 50 years ya mchina kushikilia eneo letu pale Mbegani, bila kujua wanalalaje, wanaamkaje, wanasafirisha vitu gani hapo, na mbaya zaidi, ni nchi yetu lakini eneo Hilo kulikanyaga ni Kwa ruksa ya J. kupitia msemaji wa serikali yake!!
Utumwa mwingine huu tunaukaribisha Kwa kujitakia
Wacha porojo wewe,Acha matusi.
Hamna hoja yoyote. Munawaza kizamani. Mnatuchelewesha tu. Tutawashusha njiani tuendelee na safari yetu ya kuifanya Tanzania iwe na uchumi endelevu wa kisasa.
Bandari ya Bagamoyo ni muhimu kwa uchumi wetu. Mradi huo ni lazima sasa utekelezwe.
Sema tu mkuu kama uliahidiwa Ka pasent FulaniMumeambiwa maungo mkayaamini?
Hakuna kitu kama hicho kwenye huo mkataba.
Mradi wa bandari ya Bagamoyo ni mzuri mno! Hayo mengine zilikuwa propaganda tu za kuuchafua kwa interest binafsi.
Wewe ndio mwenye fikra za kimasikini. Halafu hujijui! Pole.Tatizo ni fikira za kiumaskini na kukosa uthubutu, hili ni tatizo la viongozi na nchi nyingi za Africa
Penye watu 10, ni asili mia 2 tu Kati ya hao ndio huwa watu wa kuona furusa na kuona inawezekana hata kusipokuwepo msaada
Lakini asilimia 8 ya watu hao akiwemo na Mleta mada, hawana uamuzi na niwatu wenye fikra za kiumaskini na kusingizia watu kwamba Kwa nini huyu anazuia watu wakuleta ajira, labuda akifa ndio nitafanikiwa,
Tanzania ni Taifa lililosheheni furusa kila utapogusa, kilichopo ni uthubutu wa kufanya, viongozi wenye kutegemea msaada hawatufai hata kidogo!!
Viongozi wenye kugawa rasilimali zetu Kwa Mali kauli tena miaka miiingi kisa ni kutengeneza ajira, hao ni masikini wa kifikra na hawana uwezo wa kusimamia
Wewe wasema!!Nani kakwambia huo mkataba unasema hivyo? Majeshi yetu lazima yatakuwepo kulinda mpaka yetu, police watalinda usalama kama kawaida. Kuna toxo ambazo haziepukiki... Mdifikiti kuwa JK mjinga mpaka akaingia Choo cha kike!!
Sema tu kama uliahidiwa kipasenti ili kutetea huu ujingaWewe ndio mwenye fikra za kimasikini. Halafu hujijui! Pole.
Jomba, ulikuwa unaamini hayo mauongo? PoleKwamba kwa muda wa miaka 99 hakuna mamlaka yoyote Tanzania inaruhusiwa kuona nini kinafanyika huko ndani ya Bandari. NO!.
Eti ukishindwa kulipa deni lao, wanachukua hiyo aridhi na Bandari zinakuwa ni mtaa mmoja wa China, kuingia pale uwe na viza n..k. Ujinga huu nani akubali?
Mleta mada usitake tuanza kilio cha kumlilia rais wetu upya.