Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

We unataka matokeo mradi una miezi 18!?..mingine mingi kama hiyo inafuata, baadae ushangilie tz kuwa namba moja uzalishaji mahindi, maana sasa hivi ni no 2 africa
Sawa.
Ngoja tusubiri.
Wakifanikiwa vijana wetu ndiyo furaha yetu ndugu wazazi na walezi.
 
Huu ni ukweli wa wazi. Hivi mtu unafunguaje kituo Cha mafunzo wakati una vyuo kibao na wataalamu kibao wameshafunzwa kilimo?

Ilitakiwa serikali isaidie uanzishwaji wa mashamba makubwa kupitia wananchi ikiunganosha watu wenye mitaji, Vijana wenye ujuzi wawe ma manager, wale wa kutoa skills wawe ndiyo wasimamizi na wale qaliona nguvu "manual" ndiyo iwe watendaji...Lakini wakaamua kujitengenezea mega projects Ili Ile 10% iwe kubwa wao wafaidike. Na watendaji wa serikali Ili wazibwe midomo wapate angalau perdiems tabia mbaya iliyojengeka Kila sector Kwa sasa...Huu utapeli haifai kabisa, watu wamekosa morals
 
Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
Kimsingi waziri na wahusika wote walipaswa kufungukiwa kesi ya kuhujumu uchumi
 
Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
Hata wa dipiweldi, na sasa tuna kwenda na udart n.k
 
Ule mradi mgumu sana kuendeshwa na vijana wasio na uzoefu wa kilimo. Ulikuwa kinadharia zaidi siyo vitendo.
Planning za hawa mawaziri na watumishi wengine hewa sana - hela zimechomwa pale - labda wapige comeback
 
Jamani msikatishe watu tamaa .mradi wa BBT ni kitu kizuri kwa vijana wetu .hauna shida yoyote wenzetu wanafanya na wanafanikiwa ni muda tu .muda mwingine kitu kigeni hakiwezi ku materialize for one day .na ishu za miradi SI siasa jaman .nadhani wizara chini ya mhe waziri wamefanya kitu kizuri sana
 
Planning za hawa mawaziri na watumishi wengine hewa sana - hela zimechomwa pale - labda wapige comeback
Vijana hawana kazi .mbinu za kuwakusanya pamoja ili kuwapa mbinu za Kilimo practically ili wakitoka hapo wawe wakulima wa vitendo zinafanyika .mnabeza .kusingefanyika kitu sijui ingekuwaje .Noooo msifanye hivyo .ni wakati sasa wa kusema Kuna kitu kimefanyika .na it is implemented on ground .
 
Huu ni ukweli wa wazi. Hivi mtu unafunguaje kituo Cha mafunzo wakati una vyuo kibao na wataalamu kibao wameshafunzwa kilimo?

Ilitakiwa serikali isaidie uanzishwaji wa mashamba makubwa kupitia wananchi ikiunganosha watu wenye mitaji, Vijana wenye ujuzi wawe ma manager, wale wa kutoa skills wawe ndiyo wasimamizi na wale qaliona nguvu "manual" ndiyo iwe watendaji...Lakini wakaamua kujitengenezea mega projects Ili Ile 10% iwe kubwa wao wafaidike. Na watendaji wa serikali Ili wazibwe midomo wapate angalau perdiems tabia mbaya iliyojengeka Kila sector Kwa sasa...Huu utapeli haifai kabisa, watu wamekosa morals
Vyuo vina asimilia kubwa ya theory! agriculture ni pana .na kimsingi BBT is about agriculture production.kwa vitendo.!wanafunzi wanatoka chuo wanahitaji kujengwa .
 
Back
Top Bottom