TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Kwani Ex ante evaluation imeishafanywa tujue impact yake? Leta results tujionee!
Hakuna WAZIRI MWIZI NA FISADI KAMA BASHE, AWESO, MWIGULU NA MCHENGERWA hawa wanapishana tu speed ya kuficha pesa za umma.Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
N jangaMiradi ya siasa
Kwahiyo ulikuwa mradi wa watu fulaniBaadhi ya waliofanikiwa walikuwa na mtu jikoni aliye wafanyia mpango.
Mambo ya connection, huna network nzuri huwezi kuwa connected.
Nalijua hili sababu nimebahatika kuwafahamu wachache waliopata nafasi na namna walivyo pata.

Nikajua utatoa takwimu, umeandika sentensi mbili tuBashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.