Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

Walishindwa nini kuwapa vijana ambao tayari Wanafanya kilimo japo kwa kusuasua kuliko kumtoa kijana town na kumpeleka kufundisha kilimo wapi na wapi ataenda kwa sababu lakini kilimo sio mambo yake kuna vijana kila mwaka wanalima mpunga unakuta eka 2,3 wapo vijana hao ndo wangewezeshwa
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Matangazo yanatolewa kwa watanzania na vijana wote .na watalaam Wana set criteralia vijana wanachaguliwa sasa yumkini vijana unaowataka wewe hawakuomba!
 
Vijana hawana kazi .mbinu za kuwakusanya pamoja ili kuwapa mbinu za Kilimo practically ili wakitoka hapo wawe wakulima wa vitendo zinafanyika .mnabeza .kusingefanyika kitu sijui ingekuwaje .Noooo msifanye hivyo .ni wakati sasa wa kusema Kuna kitu kimefanyika .na it is implemented on ground .
hoja ni namna walivo uendesha mradi mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kabla hatujafanya accusation tujiridhishe vijana waliopewa fursa wamepata changamoto ipi ya kimfumo?kwa sababu hii ni fursa ya kibunifu iliyoletwa na Serikali.Ni kipi cha kuifanya iwe bora?
 
We unataka matokeo mradi una miezi 18!?..mingine mingi kama hiyo inafuata, baadae ushangilie tz kuwa namba moja uzalishaji mahindi, maana sasa hivi ni no 2 africa
Mradi wa hovyo, ulikua lazima ufe.
Walikuja huku tulipo kwenye pamba, wakaweka mradi wa Alizeti
Wote tulishangaa tukasema hawa nani kawashauri hivi?

Alizeti sisi wenye uzoefu na mtaji tulichemsha. Unaenda kumuuzia Mo dewji unakutana na bei ya 850.
Wakaja wale Pyxus international, nao wakawa wanunuzi wazuri, lakini wakakimbia.

Hawa BBT tulikuwa tunawaangalia tu, lakini tulijua hawana uchungu na pesa sababu hawajazitolea jasho.

Anayewahimiza alime, yeye halimi. Mwisho kaenda kujenga bonge la kiwanda(nimemsifu sababu kitatengeneza ajira), kuliko angeenda kuzilia bata.
 
Vyuo vina asimilia kubwa ya theory! agriculture ni pana .na kimsingi BBT is about agriculture production.kwa vitendo.!wanafunzi wanatoka chuo wanahitaji kujengwa .
Kwahiyo hiyo ilikuwa training centre? Nchi gani iliwahi fanya haya? Acheni usanii...Kama hujui uliza kuliko kujidai mnajua Kisha mnakuja na matokeo viza

Serikali gani duniani Ina implement kitu ambacho hakojapimwa na kuonekana kuwa hakuna madhara? Walitaka kuwa researchers kwenye roles za executions
 
Mradi wa hovyo, ulikua lazima ufe.
Walikuja huku tulipo kwenye pamba, wakaweka mradi wa Alizeti
Wote tulishangaa tukasema hawa nani kawashauri hivi?

Alizeti sisi wenye uzoefu na mtaji tulichemsha. Unaenda kumuuzia Mo dewji unakutana na bei ya 850.
Wakaja wale Pyxus international, nao wakawa wanunuzi wazuri, lakini wakakimbia.

Hawa BBT tulikuwa tunawaangalia tu, lakini tulijua hawana uchungu na pesa sababu hawajazitolea jasho.

Anayewahimiza alime, yeye halimi. Mwisho kaenda kujenga bonge la kiwanda(nimemsifu sababu kitatengeneza ajira), kuliko angeenda kuzilia bata.
Kisha ni wabishi hao?! Tuliongea mpaka sauti ikakauka hawakusikiliza hata kidogo, Leo Yale tuliwatahadharisha yametokes wanataka kutufanyia usanii
 
Sishangai kama mwendokasi umekufa kwa kuwa na biris wengi huoni sisi ni wehu
 
Walishindwa nini kuwapa vijana ambao tayari Wanafanya kilimo japo kwa kusuasua kuliko kumtoa kijana town na kumpeleka kufundisha kilimo wapi na wapi ataenda kwa sababu lakini kilimo sio mambo yake kuna vijana kila mwaka wanalima mpunga unakuta eka 2,3 wapo vijana hao ndo wangewezeshwa
Kuna namna Bora zaidi na model zipo already prepared duniani za aina aina, but as I said I hope hiyo ilikuwa ni open objective pengine the other agenda was hiden
 
Katika mradi wa ******* nchi hii ule ulikuwa wa kwanza bora hata wanaoiba kwa kujenga mabarabara na majumba ule mradi ulikuwa hauwekan hata kinadharia
 
sasa akili za kina Lucas Mwashambwa na kilimo wapi na wapi,real farmers are realistic in nature not politicians.
 
Hauwezekani kwa sababu gani?
Kwasababu iliwekwa kama training badala ya activity...Costs lazima ziwe more than benefits...Na ukomdoa kipengele Cha training unaondoa pesa za kupiga ambacho ndicho mm na perceive ilikuwa ndiyo motivation zaidi kuliko outputs na sustainability
 
Watu siku hizi wamemgundua njia mpya ya kupiga pesa ndefu siyo miradi Ile midogo kidogo ambayo inainua kwelie jamii na kupiga pesa ndefu ni ngumu, wamejifunza 10% kupitia rushwa zilizopewa baraka na mabeberu kupitia pesa zao za misaada na mikopo...
 
Back
Top Bottom