Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

Matangazo yanatolewa kwa watanzania na vijana wote .na watalaam Wana set criteralia vijana wanachaguliwa sasa yumkini vijana unaowataka wewe hawakuomba!
Hivi bado hujagundua unachekesha umati? Watu waombe kuja kufanya majaribio badala ya kufanya kweli? Ebu tangaza ajira uone hapo kama hawajajaa uwanja wa Benjamini Mkapa na kuzidi?

Walioomba walikuwa wanakuja kufanya usanii kama wasanii wenyewe walioendesha mradi
 
Kisha ni wabishi hao?! Tuliongea mpaka sauti ikakauka hawakusikiliza hata kidogo, Leo Yale tuliwatahadharisha yametokes wanataka kutufanyia usanii
Wamejaza nadhari tu vichwani alafu wakataka matokeo ya haraka, alafu kilimo chenyewe ni Alizeti.
Watu wana miaka zaidi ya 10 huku wanakomaa kila njia Ila bado game tight, wao wakaja lesi
Pesa zimepotea bure tu
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Bashe alivyokuwa anautetea sasa?!!! Wati wamekula pesa na hakuna la kuwafanya aliyemteua anamwangalia tu
 
We unataka matokeo mradi una miezi 18!?..mingine mingi kama hiyo inafuata, baadae ushangilie tz kuwa namba moja uzalishaji mahindi, maana sasa hivi ni no 2 africa
Mmmh, ukweli upo moyoni
 

Attachments

  • IMG_20250710_115004_0.jpg
    IMG_20250710_115004_0.jpg
    1.1 MB · Views: 25
Vijana wakulima wanaenda na tablet,laptop shambani
Tlaatlaah 😄 kilimo kinawenyewe

Kwahiyo hiyo ilikuwa training centre? Nchi gani iliwahi fanya haya? Acheni usanii...Kama hujui uliza kuliko kujidai mnajua Kisha mnakuja na matokeo viza

Serikali gani duniani Ina implement kitu ambacho hakojapimwa na kuonekana kuwa hakuna madhara? Walitaka kuwa researchers kwenye roles za executions
Siasa
Hivi bado hujagundua unachekesha umati? Watu waombe kuja kufanya majaribio badala ya kufanya kweli? Ebu tangaza ajira uone hapo kama hawajajaa uwanja wa Benjamini Mkapa na kuzidi?

Walioomba walikuwa wanakuja kufanya usanii kama wasanii wenyewe walioendesha mradi
Hapana sichekeshi umati .najua kitu kilichofanyika .hakuna shaka ni wazo zuri.!embu waza .tuna vyuo vya Kilimo nchin vingi tu.lakin lakini wahitimu huwakuti shambani.walipo shamba ni vijana na watu wazima ambayo hawakusoma kilimo.ni mbinu Gani zitumike ili kuwaleta wasomi walisoma Kilimo?serekali imefanya tafiti na kuona BBT inafaa.wewe unatukana .ndo maana nasema SI busara kutukana Kila kitu .emb somesha Mtoto Kilimo alafu utaona umuhimu wa BBT.tutengeneze wakulima ambao wasomi .Kilimo cheti kitabadilika.na kwa kumalizia tukiweza kutenganisha siasa na utalaam tutafika kama nchi
 
Vyuo vina asimilia kubwa ya theory! agriculture ni pana .na kimsingi BBT is about agriculture production.kwa vitendo.!wanafunzi wanatoka chuo wanahitaji kujengwa .
acha kuongea vitu usivyovijua dogo vyuo vya kilimo na mifugo vina vitendo kuliko unavyo fikiria
 
Siasa

Hapana sichekeshi umati .najua kitu kilichofanyika .hakuna shaka ni wazo zuri.!embu waza .tuna vyuo vya Kilimo nchin vingi tu.lakin lakini wahitimu huwakuti shambani.walipo shamba ni vijana na watu wazima ambayo hawakusoma kilimo.ni mbinu Gani zitumike ili kuwaleta wasomi walisoma Kilimo?serekali imefanya tafiti na kuona BBT inafaa.wewe unatukana .ndo maana nasema SI busara kutukana Kila kitu .emb somesha Mtoto Kilimo alafu utaona umuhimu wa BBT.tutengeneze wakulima ambao wasomi .Kilimo cheti kitabadilika.na kwa kumalizia tukiweza kutenganisha siasa na utalaam tutafika kama nchi
Ebu jisome tena ..."serikali inafanya tafiti" ilianza lini? Ni kazi yake kufanya utafiti? Hujisikii vibaya kupotosha kadamnasi?

Mnaifanya serikali ionekane kituko kwenye Dunia ya watu wnaojali good governance
 
Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
Huna lolote unalijua kuhusu BBT. Juzi kati hapa niliwaandikia vijana flani Andiko la kuomba pesa za BBT na wakapata pesa na eneo la kilimo. Tena ni vijana wasio na network au connection yoyote.
 
Huna lolote unalijua kuhusu BBT. Juzi kati hapa niliwaandikia vijana flani Andiko la kuomba pesa za BBT na wakapata pesa na eneo la kilimo. Tena ni vijana wasio na network au connection yoyote.
Niandikie na mm nahitaji njoo inbox
 
Kilimo kina internal factor na external factor. Nenda kasome usitake nikuelezee hapa
Labda mnataka kilimo cha mitandaoni. Wakulima hawana hata elimu wala nyenzo na wanatulisha nchi nzima.

Nyie mnajidai sijui Internal na external na mmeshindwa na mapesa mmepewa.
 
Labda mnataka kilimo cha mitandaoni. Wakulima hawana hata elimu wala nyenzo na wanatulisha nchi nzima.

Nyie mnajidai sijui Internal na external na mmeshindwa na mapesa mmepewa.
Umepiga msumari Kwa kichwa...Unaacha wakulima wa kweli unaenda kuwachukua wabeba laptop eti wakapewe perdiems walime...Khaa usanii mwingine buana!
 
Mradi wa hovyo, ulikua lazima ufe.
Walikuja huku tulipo kwenye pamba, wakaweka mradi wa Alizeti
Wote tulishangaa tukasema hawa nani kawashauri hivi?

Alizeti sisi wenye uzoefu na mtaji tulichemsha. Unaenda kumuuzia Mo dewji unakutana na bei ya 850.
Wakaja wale Pyxus international, nao wakawa wanunuzi wazuri, lakini wakakimbia.

Hawa BBT tulikuwa tunawaangalia tu, lakini tulijua hawana uchungu na pesa sababu hawajazitolea jasho.

Anayewahimiza alime, yeye halimi. Mwisho kaenda kujenga bonge la kiwanda(nimemsifu sababu kitatengeneza ajira), kuliko angeenda kuzilia bata.
Kakwambia nani bbt imekufa?..na nani anawaambia watu walime yeye halimi kaenda kufungua kiwanda?
 
Acha siasa .miradi ni ishu za kitaalam .msiingize siasa.wizara imefanya kitu kizuri.ni vijana tu ndo wa kulaumiwa .!
Wizara inalaumiwa kwenye suala la kuwapata vijana sahihi.
Utaratibu wa kubebana au kuwekwa na ndugu huku wazo la kulima halijatoka moyoni mwa kijana husika.
Kwenda kukaa kule mashambani nje ya miji siyo kazi rahisi.
Mimi mkulima, kijana naelekea uzee, Nina elimu ya chuo kikuu, nimeacha mji wangu mjini naishi shamba muda mwingi. Hivyo najua changamoto zake.
Pia nimeongea na kijana ambae yeye na wenzie walipata fursa ya huo mradi wenu wakaacha, Sasa anafundisha chuo cha elimu ya juu sehemu.
 
Back
Top Bottom