We Jamaa nilijua nimuelewa kampuni yetu haipo Bukene, bali ipo Dar lkn huwa tunaitwa na makampuni ya ujenz hasa haya ya international kufanya baadhi ya kazi, so nipo hapa Kwashughuli maalumu na Jumatatu nageuka zangu DSM, hata mwezi uliopita nilikua BBN bandarini Tanga, REYNOLDS mang'ula Morogoro, nilikua CPPE Tanga, nilikua CCEC Zanzibar, nilikua CHINA RAILWAY LINDI, nilikua hapo Morogoro, nilikua na BUILDSOL MPIJI BLOCK NO 6, nilikua na ADVENT, hio nikuanzia mwezi November mpaka Sasa nipo huku, lkn ntarajia pia JWIL pangani, nategemea kwenda TECLAB Uganda, nategemea kwenda CHICO kibondo. Ukitaka ujue tunafanya shughuli Gani hayo hayakuhusu.Acha uongo,
Hakuna kampuni ya nje inayotoa huduma za kiu fundi kwa vifaa vya mkandarasi hapo Bukene.. Kama ni muajiriwa wa Yapi hapo Sawa..
Kawalipe we bwege. Huna kazi ya kufanya.Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.
Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya kesho kutwa, watu wameshaanza kurudi makwao.
Nakazi kibao zakufanya, wewe unaetegemea ulambe viongozi matako ndio huna shughuli zakufanya.Kawalipe we bwege. Huna kazi ya kufanya.
Na ndio Samia anapozidiwa janja. Na yeye wala hashtukiHuu mradi wanauletea figisu tu
Hivi wenye malori, msbasi watayapeleka wapi????
Ova
We Jamaa nilijua nimuelewa kampuni yetu haipo Bukene, bali ipo Dar lkn huwa tunaitwa na makampuni ya ujenz hasa haya ya international kufanya baadhi ya kazi, so nipo hapa Kwashughuli maalumu na Jumatatu nageuka zangu DSM, hata mwezi uliopita nilikua BBN bandarini Tanga, REYNOLDS mang'ula Morogoro, nilikua CPPE Tanga, nilikua CCEC Zanzibar, nilikua CHINA RAILWAY LINDI, nilikua hapo Morogoro, nilikua na BUILDSOL MPIJI BLOCK NO 6, nilikua na ADVENT, hio nikuanzia mwezi November mpaka Sasa nipo huku, lkn ntarajia pia JWIL pangani, nategemea kwenda TECLAB Uganda, nategemea kwenda CHICO kibondo. Ukitaka ujue tunafanya shughuli Gani hayo hayakuhusu.
Umezungumza au umeandika?Nazungumza jambo nililo na uhakika nalo.
.
Hakuna mahala nimesema YAPI WANA OUT SOURCE, ingawa wanaout source, Bali nimemukuambia Kuna baadhi ya vifaa hawawez kuvitumia mpaka third party avikague, nakupa mfano wakifaa Chao kimoja ambacho hawawez tumia mpaka wapate uhakiki wa taarifa zake kama nisahihi ni OTDR, na hii wakiitumia Kila baada ya mwaka wanairudisha china, au South Africa au UK kwenye kampuni ya EXFO. Kwahio Mimi nikipewa authorization na EXFO kama services provider wao east Africa siwezii kuwarekebisha YAPI MERKEZI OTDR zao?.Wala sitaki kujua mnachofanya.
Yapi Hawa outsource kampuni ya nje kuwafanyia kazi zao. Wamejitosheleza Kila kitu. Hivyo acha uongo.
Pambania hela yako hiyo ya miezi 2 usepe.. Ukizubaa hata hiyo utakikosa.
Hiyo ni Isaka Zoo, hii awamu wanachojua ni uporaji kwa mujibu wa CAG.Lakin hichi kipande si kapewa mchina AU , nimesahau?
Niambie wewe.Umezungumza au umeandika?
Mchina yupo Mwanza! Hapo ni Mturuki na uenda ndiyo kipande kifupi kuliko vyoteLakin hichi kipande si kapewa mchina AU , nimesahau?
Wewe Unatakiwa kupimwa mkojoNiambie wewe.
Acha kulamba miguu yawatu, zungumza kweli tupu.Wewe Unatakiwa kupimwa mkojo
Basi umekua kimwili ila kiakili ni zeroNikue Mara ngapi? Hapa Jamiiforum Jukwaa huru ambapo mtu anatoa maoni yake. Ukitaka habari wafuate hao Millard Ayo huko.
Lakin hichi kipande si kapewa mchina A
U , nimesahau?
Milady na etl hawezi Kuta Wana Post Hii habari