Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

Acha uongo,

Hakuna kampuni ya nje inayotoa huduma za kiu fundi kwa vifaa vya mkandarasi hapo Bukene.. Kama ni muajiriwa wa Yapi hapo Sawa..
We Jamaa nilijua nimuelewa kampuni yetu haipo Bukene, bali ipo Dar lkn huwa tunaitwa na makampuni ya ujenz hasa haya ya international kufanya baadhi ya kazi, so nipo hapa Kwashughuli maalumu na Jumatatu nageuka zangu DSM, hata mwezi uliopita nilikua BBN bandarini Tanga, REYNOLDS mang'ula Morogoro, nilikua CPPE Tanga, nilikua CCEC Zanzibar, nilikua CHINA RAILWAY LINDI, nilikua hapo Morogoro, nilikua na BUILDSOL MPIJI BLOCK NO 6, nilikua na ADVENT, hio nikuanzia mwezi November mpaka Sasa nipo huku, lkn ntarajia pia JWIL pangani, nategemea kwenda TECLAB Uganda, nategemea kwenda CHICO kibondo. Ukitaka ujue tunafanya shughuli Gani hayo hayakuhusu.
 
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao.

Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya kesho kutwa, watu wameshaanza kurudi makwao.
Kawalipe we bwege. Huna kazi ya kufanya.
 
Mchina alijitolea kugharamia mwanza Dsm, Tabora Kigoma fedha yote, JPM kwa kusaka ten percent akakataa, akaanza kuzunguka kwenye vibenki vya kariakoo kukopa
 
Hii ni habari mbaya Kwa maendeleo ya kiuchumi Kwa Taifa letu mama yy Yuko busy kwenda Dubai na Oman Kwa wajomba zake
 
We Jamaa nilijua nimuelewa kampuni yetu haipo Bukene, bali ipo Dar lkn huwa tunaitwa na makampuni ya ujenz hasa haya ya international kufanya baadhi ya kazi, so nipo hapa Kwashughuli maalumu na Jumatatu nageuka zangu DSM, hata mwezi uliopita nilikua BBN bandarini Tanga, REYNOLDS mang'ula Morogoro, nilikua CPPE Tanga, nilikua CCEC Zanzibar, nilikua CHINA RAILWAY LINDI, nilikua hapo Morogoro, nilikua na BUILDSOL MPIJI BLOCK NO 6, nilikua na ADVENT, hio nikuanzia mwezi November mpaka Sasa nipo huku, lkn ntarajia pia JWIL pangani, nategemea kwenda TECLAB Uganda, nategemea kwenda CHICO kibondo. Ukitaka ujue tunafanya shughuli Gani hayo hayakuhusu.

Wala sitaki kujua mnachofanya.

Yapi Hawa outsource kampuni ya nje kuwafanyia kazi zao. Wamejitosheleza Kila kitu. Hivyo acha uongo.

Pambania hela yako hiyo ya miezi 2 usepe.. Ukizubaa hata hiyo utakikosa.
 
Hakuna mahala nimesema YAPI WANA OUT SOURCE, ingawa wanaout source, Bali nimemukuambia Kuna baadhi ya vifaa hawawez kuvitumia mpaka third party avikague, nakupa mfano wakifaa Chao kimoja ambacho hawawez tumia mpaka wapate uhakiki wa taarifa zake kama nisahihi ni OTDR, na hii wakiitumia Kila baada ya mwaka wanairudisha china, au South Africa au UK kwenye kampuni ya EXFO. Kwahio Mimi nikipewa authorization na EXFO kama services provider wao east Africa siwezii kuwarekebisha YAPI MERKEZI OTDR zao?.

Mkuu kaa Kwa kutulia Kuna kampuni kibao tu zinafanya kazi na YAPI MERKEZI, lkn Kwa vile wewe hujui huwezi kuelewa.

Mfano wakampuni ya kibongo ambayo YAPI MERKEZI Wameout source ni MAGARE COMPANY LTD. wanadeal na system zote za mabomba kwenye mradi.

Nshaona najenga hoja namtu amabe hajui kazi zinafanyikaje.
 
Back
Top Bottom