Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

Hivyo hapo bukene umeambiwa ukapumzike nyumbani hadi watakapo kuita tena sio?
Mie sio muajiriwa wa YAPI MERKEZ Bali huwa Kuna vifaa tunarekebisha hasa vya hizi international company zinazohusika na ujenzi na YAPI MERKEZ akiwa mmoja wao, lakini wafanyakazi wamechoambiwa nikawamba kampuni haitoendelea nakazi, itawalipa mishahara ya miezi miwil ijayo, itawapa na stahiki zao zote ikiwa nipamoja na NSSF, usiulize Kwa Nini pamoja na nssf zao ikiwa YAPI hahusiiki na NSSF haya nimambo ya ndani ya kampuni. Kwahio wajiandae waondoke , na batch yakwanza majina na stahiki zao yalitoka Jumatatu iliyopita, batch ya pili nikeshokutwa.
 
Wazungu wanakwenda likizo kwao kwa hiyo kazi hazitaendelea. Wafanyakazi wanatakiwa kuondoka site wakale sikukuu makwao na kama wamelipwa mishahara miwili basi ni sahihi mwajiri lazima akulipe hata kama uko likizo. NSSF zinalipwa kila mishahara inapolipwa hivyi hilo sio tatizo. anaetakiwa kudai NSSE ni mwajiriwa sio mwajiri ili awalipe waajiriwa........Mchina hana dini wala sikukuu. wao wana sikukuu moja tu hivyo wanaendelea na kazi.
 
Kwani YAPI MERKEZ wameanza kazi mwaka huu hapa nchini?. Navipi YAPI MERKEZ wamekua wazungu lini?. Nasikuku ya Waturuki unaifahamu kweli?. Jielimishe kwanza bos, lengo lakuwalipa mishahara ya miezi miwil na stahiki zao nikuvunja mikataba yao.
 
Mie sio muajiriwa wa YAPI MERKEZ Bali huwa Kuna vifaa tunarekebisha hasa vya hizi international company zinazohusika na ujenzi na YAPI MERKEZ akiwa mmoja wao, lakini wafanyakazi wamechoambiwa nikawamba kampuni haitoendelea nakazi, itawalipa mishahara ya miezi miwil ijayo, itawapa na stahiki zao zote ikiwa nipamoja na NSSF, usiulize Kwa Nini pamoja na nssf zao ikiwa YAPI hahusiiki na NSSF haya nimambo ya ndani ya kampuni. Kwahio wajiandae waondoke , na batch yakwanza majina na stahiki zao yalitoka Jumatatu iliyopita, batch ya pili nikeshokutwa.

Acha uongo,

Hakuna kampuni ya nje inayotoa huduma za kiu fundi kwa vifaa vya mkandarasi hapo Bukene.. Kama ni muajiriwa wa Yapi hapo Sawa..
 
nawaambieni baada ya miaka 5 watu wataanza kung'oa mataluma ya reli vyuma chakavu. Sasa hivi watu wapo busy na uchawa kuelekea 2025.

Na bado tutasema tu, huu ni mwanzo.
Ndipo ikatavyokuwa

Ova
 
Back
Top Bottom