Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

Kuna Wataalamu koko waliopendekeza kuwa vyoo vijengwe kilomita 10 kutoka mradi wa umeme wa Stigler gorge ulipo kwa kusema utachafua mazingira vyoo vikiwa eneo la mradi!!!!!.Mbona vyoo visivyochafua mazingira vipo .ukiwa Na mikutano au sherehe mbona watu huvileta? Hao Wataalamu koko hawajui hilo kuwa viko vyoo visivyoharibu mazingira? Hadi watoe ushauri wa kijinga kama huo? Timua wote
Wewe mwenyewe hujui, kujipendekeza tu. Ainisha vizuri andiko lako tukuelewe...
 
Kuna Wataalamu koko waliopendekeza kuwa vyoo vijengwe kilomita 10 kutoka mradi wa umeme wa Stigler gorge ulipo kwa kusema utachafua mazingira vyoo vikiwa eneo la mradi!!!!!.Mbona vyoo visivyochafua mazingira vipo .ukiwa Na mikutano au sherehe mbona watu huvileta? Hao Wataalamu koko hawajui hilo kuwa viko vyoo visivyoharibu mazingira? Hadi watoe ushauri wa kijinga kama huo? Timua wote
Ofisi ya mazingira iko chini ya makamo Wa rais ....wataalamu hawa wako chini yake, ripoti iliyotoka imepitia kwake,....nashukuru kutujulisha kuwa yeye ni koko pia....aanze kumtimua Makamu wake !
 
VP, January Makamba, msizunguke mbuyu kutafuta mbuzi wa kafara kama kwenye MV Nyerere mkawaacha watendaji wakuu kina Jenista, Lugola na Kamwelwe hadi leo wako ofisini mkawafunga mainjinia ambao hawajui hata bei ya tiketi ina rangi gani.
 
Nakwambia huwezi jua,wengine tulikuwa karibu sana na jukwaa uzinduzi wa Tazara overpass leo!
Ww kama unahangaika na makonda aidha kwa kutumwa au kwasababu zako binafsi unajichosha bure endelea na mambo mengine
 
Ifike mahali kama hatuwaombi pesa ya kujenga hilo bwawa tuwe huru kujiamulia mambo yetu.
Hata kama tunawaomba pesa (msaada-( grant) na sio mkopo kwa sababu mkopo ni hela yetu) pia hawana haki ya kutuamlia jambo lolote. Hili lieleweke kuwa hatutaki kusikiliza ushauri na kuutolea maamuzi sisi wenyewe.
 
Tangu mlipojua kufukuza imeshakuwa kufukuzana hamna njia nyingine ya kutatua shida zenu isipokuwa kufukuzana?.
 
Ofisi ya mazingira iko chini ya makamo Wa rais ....wataalamu hawa wako chini yake, ripoti iliyotoka imepitia kwake,....nashukuru kutujulisha kuwa yeye ni koko pia....aanze kumtimua Makamu wake !
Wataalamu waweza tumia utaalamu wao kumharibia mtu kazi au kupiga Vita mradi kwa Sababu za kisiasa labda hao Wataalamu koko ni Chadema wanaisadia Chadema inayopinga mradi kwa kupitia utaalamu koko wao au ni maajenti wa watu wa nje wasiotaka nchi ijitegemee kwa umeme au Wala rushwa waliohongwa Na makampuni ya kufua umeme.Makamu wa Raisi hatoki Ila Wataalamu wote walioandika Na kupitisha hilo pendekezo wote wafungishwe virago
 
Wataalamu waweza tumia utaalamu wao kumharibia mtu kazi au kupiga Vita mradi kwa Sababu za kisiasa labda hao Wataalamu koko ni Chadema wanaisadia Chadema inayopinga mradi kwa kupitia utaalamu koko wao au ni maajenti wa watu wa nje wasiotaka nchi ijitegemee kwa umeme.Makamu wa Raisi hatoki Ila Wataalamu wote walioandika Na kupitisha hilo pendekezo wote wafungishwe virago
CHADEMA tena wanahusika???????daaah mnachosha aiseee!
 
Hahahaa, ni kweli wananchi wameshaanza kupata tabu, juzi kwenye ajali serikali umewaacha wajiokoe wenyewe baada ya siku mbili ndipo serikali ikaja kuokoa mmoja.
Walisema wameshajidhihiriahabkuwa hakuna ambaye yuko hai
 
Ungemsikiliza vizuri
Ungejua aliongelea hilo ili watendaji wake wachukue hatua..
 
Wataalamu waweza tumia utaalamu wao kumharibia mtu kazi au kupiga Vita mradi kwa Sababu za kisiasa labda hao Wataalamu koko ni Chadema wanaisadia Chadema inayopinga mradi kwa kupitia utaalamu koko wao au ni maajenti wa watu wa nje wasiotaka nchi ijitegemee kwa umeme au Wala rushwa waluohongwa Na makampuni ya kufua umeme.Makamu wa Raisi hatoki Ila Wataalamu wote walioandika Na kupitisha hilo pendekezo wote wafungishwe virago
Kwenye post yako nimeona neno moja tu, Makamu wa rais 'hatoki'.
 
Wapo wafanyakazi wa serikali wana vitambulisho viwili cha serikali shingoni na matakoni wana cha chadema
Wapumbavu tu ninyi,huyo waziri alikuwa wapi?Katibu mkuu wa wizara alikuwa wapi?Mtajibeba wenyewe
 
Back
Top Bottom