Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 960
- 855
ila nikweli...jpm na jk naona kama haziivi hivi! siku ile ya kuongea na wazee wa dar nilisikilza kwa makini speech ya jpm...kuna sehemu aliwataja mwinyi...kikwete...lakini kwa mkapa akasema ...MZEE MKAPA sasa nikawa najiuliza nani mzee kati ya mwinyi na mkapa....hapa kuna jamboMkapa alitoa mapendekezo ya kuachiwa watu hawa alipomtembelea Magufuli ikulu mwezi January, alijua anasimamia nini, anajua anasimamia nini na anajua atasimamia nini! Zao la Magufuli ni mpambano kati ya Kikwete na Mkapa!!
Usiogope kaka sema kwa sauti kubwa mijizi izomewe mijizi hii Yona ndio mshirika mkubwa wa mkapa kujimilikisha mgodi wa kiwira halafu MTU itakuwa na nguvu ya kupambana na mafisadi
..unadhani wana shida na visenti vyenu,kalagabaho.!!Very constructive ... Huo ushauri wanautoa bure,hawalipwi. Mjini akili,shamba nguvu.
you cant be serious..let me find the truthWaziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona na waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba ambao wanatumikia kifungo cha nje pamoja na kufanya usafi katika hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam, wamepewa kazi nyingine ya kusaidia kuongeza ufanisi ofisini. Mawaziri hao wa zamani sasa wamepangiwa kazi ya kutoa ushauri elekezi wa kitaalam katika maeneo mbalimbali ya kiutendaji katika hospitali hiyo ikiwa ni pamoja na masuala ya bajeti. View attachment 324057
Mramba,Yona wakabidhiwa kazi za Ofisi - Dar24
Wewe kweli huna huruma! Unataka watoto wao wasiende choo?!Daah lumumba wote wamekula kona, siwaoni hapa
Ushauri gani wa kiutendaji wakati walifungwa kwa kushindwa kuwajibika ktk hizo hizo ofisi za serikali?Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona na waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba ambao wanatumikia kifungo cha nje pamoja na kufanya usafi katika hospitali ya Sinza Palestina jijini Dar es Salaam, wamepewa kazi nyingine ya kusaidia kuongeza ufanisi ofisini. Mawaziri hao wa zamani sasa wamepangiwa kazi ya kutoa ushauri elekezi wa kitaalam katika maeneo mbalimbali ya kiutendaji katika hospitali hiyo ikiwa ni pamoja na masuala ya bajeti. View attachment 324057
Mramba,Yona wakabidhiwa kazi za Ofisi - Dar24
Mkuu si ulimsikia akisema kuwa yupo tayari kumsaidia magu wakati wowote?ndio tayari yupo kazini kimasafaHahahahaha!
Hii nchi bana! Naona Mkapa sasa anaendesha nchi kupitia kijana wake Magufuli!
Sasa hawa wezi wamegeuka ma consultants...?