Acha uongoJana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana
Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu kujitokeza anipokee maana ningefika usiku sana
Hata hivyo nashukuru sana kwa wenyeji kujitokeza kwenye pm yangu ili wanipokee,jumla ya watu 87 walijitokeza kunipokea bahati mbaya hakuna mwanamke aliyejitokeza kunipokea, nashukuru sana hao 87
Niliwapa watu 11 namba yangu ya simu,watu 7 walinipigia ila wanne walinitext
Nilipofika stendi watu watatu walihakikishia kuwa wapo stendi ya Magufuli ila wawili walikuwa na magari,mmoja yeye alikuwa kwa mguu akiniahidi kwenda kwa daladala Mbagala
Niliposhuka niliondoka na jamaa mmoja aliyejitambulisha Kama M sitamtaja majina yake kwa faragha
Kwenye gari yake walikuwa wanaume watano,mpaka nikaogopa ila wakanihakikishia kuna usalama,nikaingia kwenye gari
Nikakaa siti ya mbele na M tukaanza kuondoka,huku nilimuuliza M Kama hawa jamaa wengine ni member JF akasema hapana
Safari ikaenda Kama saa 3,tukaingia kwenye majengo fulani kwa bahati nikawa nimeona sehemu pameandika Nkuruma hosteli,nikamuuliza M mbona huku ni hosteli,akajibu nataka nishushe hawa wenzangu hapa tuendelee na safari...........
Itaendelea
Kwa vile tangu uwe na miaka 25 mwaka 2017 huwa huridhikiUna uhakika?
Ha ha ha..wafukua magraveKwa vile tangu uwe na miaka 25 mwaka 2017 huwa huridhiki
Siridhiki kimapenzi, naomba ushauri
Mimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa. Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi hadi namkubali kuwa hadi nampongeza kuwa hii ligi ya bundesliga kumbe anaiweza sana. Alichokuwa...www.jamiiforums.com
Ila daladala moja tuu hapo, buku Mia tatu tuu nauli π kwenda na kurudi buku mbili mia sitaMaku sio mchezo ...Mtu kaitokea Mbagala.
Tupo tumejaa tele. Natafuta ile alivyolika akaachiwa elf saba tu ubungo. cutelove ni matata sana huyu aliyesoma SAUTHa ha ha..wafukua magrave
Je ni mfupi? Alivaa sweta la Tanzania?Tutaenda wap zaid ya kwenda kumsasambua π
Mnyama Magallah alitafuna hii pisi akaacha 7800ππMimi ndiye yule aliyeleta kisa cha kupewa nauli ya 7800 ?
Mbona wewe upo hapa? .Hatuwezi muda wote kuawaza siasa tu hayo sio maisha mzee. Pia maana ya maisha ni mgawanyo wa shuguli ndo maana wote tunategemeana hivyo acha kugeneralize.Hizi ndiyo mada ambazo zina make headline hapa jamii forum,kiukweli kama Taifa tuna safari ndefu sana watu wanawaza ngono 24 hrs aisee nchi iendelee kuliwa tu
Ufupi upo pale pale, ila alivaa suruali n nguo ya juu cjui ndo wanaziitajeJe ni mfupi? Alivaa sweta la Tanzania?
Dau uliongeza au ulipunguza?Ufupi upo pale pale, ila alivaa suruali n nguo ya juu cjui ndo wanaziitaje
Mm n mtu wa watu hvy Siwez kumfanyia Ukatili, nilimfurahisha πDau uliongeza au ulipunguza?
Dah bora mzee ,yule jamaa alifanya ukatili sana kwa dada yetu mlio ulikua mkubwa sana.Mm n mtu wa watu hvy Siwez kumfanyia Ukatili, nilimfurahisha π
Wasamaria wema tupo πDah bora mzee ,yule jamaa alifanya ukatili sana kwa dada yetu mlio ulikua mkubwa sana.
Safi mzee.Wasamaria wema tupo π