Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni


Muhimu kujali wateja wako. Wateja wengine asubuhi wanakula breakfast, saa nne wanakutana na washikaji wanaongea kidogo wanaenda kumaliza dili huko.

Wakirudi saa tisa, kumi wanakamilisha maongezi yao. Hapo wanaweza kuomba supu, nyama choma, nk wanaachana saa kumi na mbili. Ila mziki ni hapana. Hautakiwi kabisa.
 
Hizo hidden camera watakuwa hawazioni Kwa uwazi kama hizo camera nilizokwisha kuzifunga? Zinakuwaje?
Hawawezi kuzijua, tena unawaambia kabisa hiki ni kifaa cha kujua kukiwa na moshi, moto, vingine ni kama taa au saa za ukutani.


 

Attachments

  • 1706801027211.png
    37.9 KB · Views: 6
Daah hii mtu anaweza kuweka akawa anapiga chabo wateja wake..not good! Watu wawe makini sana wanaweza kuchukuliwa matukio bila kujijua

Ni ukweli, hivyo vimefanyika sana nchi zingine halafu wanauza video. Wengine wakiingia chumbani wanakagua kila kitu TV, taa, electonics gaps zozote zisizoeleweka kwa nini vipo pale.
 
Wasomi ni waoga sana wa kutake risk, wao wanacalculate risk kabla hawajatake risk, huku Mgodini tuna Msukuma mmoja aliuza kila kitu ili kuhudumia duara lake mpaka mke alitaka kumkimbia, but toka mwaka Jana mwezi wa sita hadi Leo shimo lake linatema na anauza mawe mfuko wa azam wa kilo 25 anauza sh.700,000, kwa wiki anaingiza zaidi ya mil 160.
 
Ni kweli Mkuu, sifa Moja wapo ya Mjasiriamali ni kuwa na uwezo wa kutake risk.

Kuna jamaa alikopa Mkopo Benki Kwa dhamana ya mshahara wake kisha kuacha kazi na kuingia kwenye Ujasiriamali.

Kwasasa ana Ukwasi wa zaidi ya bilioni 5 hadi 10 maana alijikita kwenye biashara ya kuagiza vifaa nje na kuja kuviuza Bongo
 
Shukrani Kwa Madini yako Mkuu

Hapo jambo la kuzingatia kumbe ni kutunza risiti, Wacha nikazitafute zote kuanzia zile za kununua Mabati/Malumalu n.k

Ishu ya Mafundi itabidi niandike nao Mkataba sio?
 
Mzee Graham's ninampango wa kuja huko chunya kuchukua karasha nadhani nitaangaza angaza lodge mpya ya 30k nilale humo may be ikawa yenyewe.
 
βœ… noted
 
Great idea πŸ‘πŸ‘
 
Mzee Graham's ninampango wa kuja huko chunya kuchukua karasha nadhani nitaangaza angaza lodge mpya ya 30k nilale humo may be ikawa yenyewe.
Karibu sana kwenye biashara ya Uchimbaji.

Ukiwa na bahati huwezi kukosa millioni millioni, muhimu Kwa miezi ya awali uwe na funds za kukuwezesha ku-run biashara walau miezi 6 hadi 12 bila kutegemea fedha ya duarani.
 
Lodge zina hela sana, kuna moja mchana inajaa waiba wake za watu na usiku inajaa bei ni 30000 kwa 35000.
Hahaha.....eti Waiba wake za watu 😜

Huoni wanapunguziana majukumu na Mume mwenza....maana Wanawake Wanacheza sana Vikoba hivyo wanakuwa na watu wa kuwasaidia kulipa πŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

Ni biashara nzuri na inalipa hasa, ukipata sehemu nzuri, utajikuta Kila Siku inajaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…