Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Hv huyo mwanamke Ni kabila gani ambaye ajali ndoaa kbsa naomba uniambia niendelee kuchukuwa taadhari
 
Great mind [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Dah,yani kwa uandishi huu tu na hizi regrets zako unaonekana bado unampenda saaana mkeo basi tu wanaume hua mnajisahau kwa wake zenu mnahisi mkituweka ndani basi ndo kila kitu embu mpe muda kidogo ajitafakari ila usimuache please
 
Nilikuwa na mjali kwa matumiz na huduma za watoto ndani lakin kusex nilikuwa sifanyi kama mwanzoni hapa nakir nguvu zote nilihamishia kwa mchepuko
Si unaona sasaaa.....haya rudi kaa chini na mkeo yajengeni mlee wanenu na achana na uyo Salma.
 
Umetisha Sana mkuu[emoji119][emoji91][emoji91]
 
kuacha mke maandalizi kama vile maandalizi ya kuoa. Tumia akili, juhudi na maarifa. Unaweza ukaacha halafu wewe ndo unajuta. Ila mkeo komandoo kaenda na kazini duhhhh
Vipi kazini we uliweza kwenda.
 
kuna mwanamke niliamua kumpangisha mpaka chumba siku moja tupo wote akawa anachat na kajamaa kake mpaka jamaa akamwambia vip mshkaji hayupo?? kaka jibu acah kumzungumzia tufanye yetu… Jamaa akamwambia nakupenda sana japo wew mke wa mtu demu akamjibu nakupenda piaa yani nilivyoona zile msg niliomba sana Mungu anipe uvumilivuu maana siku ile ningeuaa walahii… kesho yake nikamwambia nataka kuishi mwenyewe kwa sasa yani hata hakakuniuliza kitu kakaacha funguo kakasepa na vitu vyake sasaa ubaya Usiku sijui jamaa ake alikuwa hana geto kanaanza kuniuliza mbona nimerudi umefunga mlango 🤣 🤣 🤣 🤣 WANAWAKE HAWA KAMA HUNA MOYO MGUMU WALAHI ATAKUENDESHA SANA.
 
Mmmm ungemfungulia alale humo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila hata wanaume matukio yenu makubwa yanavumiliwa tu
 
Ningeusaliti moyo wangu sana maana nilimpenda kweli ila akaanzaa ungesee huo wa kunichukulia poaaa… Mwanamke ukitaka kumuacha kwa makossa ya kuchepuka na una ushahidi yani usimuulize wala kumpa nafasi ya kujitetea hutamuacha kamwe
 
Je wewe acha kutishia umma ingekuwa mimi unipige kudadadeki ningekufanyia maigizo ya kichina na kimeru na kiniger ningekufumua mpaka hicho kichaa kiishe shuwaini huyo mam anatakiwa akupeleke ustawi wakamii.

Wewe ni ngumi kabisa ,makofi seriously makofi ya mwanaume unayajua?

Wewe mwanamume ni muuwaji.
Kidudu mtu mkeo ameona unapenda Ksana .

Eti wanavuta bangi unatofauti gani na hao.
Unampiga mkeo .

Ex wangu alikuwa akijua unachepuka anakuita siku mko free mnakunjana mpaka ukisema umechoka anakuuliza huko hukuchoka acha hizo nataka usirudie tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…