Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

Hv huyo mwanamke Ni kabila gani ambaye ajali ndoaa kbsa naomba uniambia niendelee kuchukuwa taadhari
 
Mkuu nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi na mbili sasa...nakushauri kitu ambacho nakijua wewe utaamua cha kufanya lakini jukumu la kukushauri ni jukumu langu.

1.usimuache kabisa huyo mke wako
2.wake za watu wanaliwa sana, ikiwemo wangu
3.usisahau na wewe una mchepuko
4.kinachowaunganisha ni watoto na ndio watakaoumia
5.vumilia,fatilia,mkanye,kuwa mkali ila usimuache...

nicheki Pm nikupe namba yangu kwa ushauri zaidi
Great mind [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Ndio tumelala kitanda Kimoja sikuwa na hamu wala hisia nae na yy alikuwa akilia tu mara nyingi kuomba nimsamehe huku akisistiza yote nimesababisha mimi na hawez kunisaliti

kuhusu msg nilizoona kasema nikweli walitumiana na hata picha pia lakin hajawahi kumfanya sex nae na aliomba nimwangalie km kabadilika chochote huko chin,
Ukiangalia evidence na planning yote ni ngum sna kusema jamaa kamwacha hata chupi alio vaa jana

Nilinunua mimi ni mpya zile huwa hazivai marakwamara lakin jana alivaa , kweli mwizi hataakamatwe na kitu bado atabisha tu, kwahiyo dizain km mimi ndio nakosa tena.
Dah,yani kwa uandishi huu tu na hizi regrets zako unaonekana bado unampenda saaana mkeo basi tu wanaume hua mnajisahau kwa wake zenu mnahisi mkituweka ndani basi ndo kila kitu embu mpe muda kidogo ajitafakari ila usimuache please
 
Nilikuwa na mjali kwa matumiz na huduma za watoto ndani lakin kusex nilikuwa sifanyi kama mwanzoni hapa nakir nguvu zote nilihamishia kwa mchepuko
Si unaona sasaaa.....haya rudi kaa chini na mkeo yajengeni mlee wanenu na achana na uyo Salma.
 
Hivi kweli yupo
Mwenye roho mbaya kukushinda
Maana mi sijaona Duniani
Hivi kweli yupo
Aso na haya kukushinda
Maana mie sijaona sijaona
We mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake
Ni kumponya, nihurumie
Ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
Na wakati anajua mi kwako ndo napona,
We nihurumie
Mi najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea Nimekuzoea mmmh

Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa mmmmh

Na kama kuachana nakubali
Sawa fanya yako
Ila sio lazima unionyeshe uniumize
Au kisa unajua
Unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona bora unikomeshe Unilize eeeh
Ah poa poa,
Nishajua vya utamu Vinakuwaga vya uchungu
Ili doa doa milima haikutani
Japo najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea
Nimekuzoea mmmh

Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa
Unanionea, unanionea bure
Hata Bonga anajua unanionea
Chino anajua, unanionea
Umetisha Sana mkuu[emoji119][emoji91][emoji91]
 
kuacha mke maandalizi kama vile maandalizi ya kuoa. Tumia akili, juhudi na maarifa. Unaweza ukaacha halafu wewe ndo unajuta. Ila mkeo komandoo kaenda na kazini duhhhh
Vipi kazini we uliweza kwenda.
 
kuna mwanamke niliamua kumpangisha mpaka chumba siku moja tupo wote akawa anachat na kajamaa kake mpaka jamaa akamwambia vip mshkaji hayupo?? kaka jibu acah kumzungumzia tufanye yetu… Jamaa akamwambia nakupenda sana japo wew mke wa mtu demu akamjibu nakupenda piaa yani nilivyoona zile msg niliomba sana Mungu anipe uvumilivuu maana siku ile ningeuaa walahii… kesho yake nikamwambia nataka kuishi mwenyewe kwa sasa yani hata hakakuniuliza kitu kakaacha funguo kakasepa na vitu vyake sasaa ubaya Usiku sijui jamaa ake alikuwa hana geto kanaanza kuniuliza mbona nimerudi umefunga mlango 🤣 🤣 🤣 🤣 WANAWAKE HAWA KAMA HUNA MOYO MGUMU WALAHI ATAKUENDESHA SANA.
 
kuna mwanamke niliamua kumpangisha mpaka chumba siku moja tupo wote akawa anachat na kajamaa kake mpaka jamaa akamwambia vip mshkaji hayupo?? kaka jibu acah kumzungumzia tufanye yetu… Jamaa akamwambia nakupenda sana japo wew mke wa mtu demu akamjibu nakupenda piaa yani nilivyoona zile msg niliomba sana Mungu anipe uvumilivuu maana siku ile ningeuaa walahii… kesho yake nikamwambia nataka kuishi mwenyewe kwa sasa yani hata hakakuniuliza kitu kakaacha funguo kakasepa na vitu vyake sasaa ubaya Usiku sijui jamaa ake alikuwa hana geto kanaanza kuniuliza mbona nimerudi umefunga mlango [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] WANAWAKE HAWA KAMA HUNA MOYO MGUMU WALAHI ATAKUENDESHA SANA.
Mmmm ungemfungulia alale humo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila hata wanaume matukio yenu makubwa yanavumiliwa tu
 
Ningeusaliti moyo wangu sana maana nilimpenda kweli ila akaanzaa ungesee huo wa kunichukulia poaaa… Mwanamke ukitaka kumuacha kwa makossa ya kuchepuka na una ushahidi yani usimuulize wala kumpa nafasi ya kujitetea hutamuacha kamwe
 
Je wewe acha kutishia umma ingekuwa mimi unipige kudadadeki ningekufanyia maigizo ya kichina na kimeru na kiniger ningekufumua mpaka hicho kichaa kiishe shuwaini huyo mam anatakiwa akupeleke ustawi wakamii.

Wewe ni ngumi kabisa ,makofi seriously makofi ya mwanaume unayajua?

Wewe mwanamume ni muuwaji.
Kidudu mtu mkeo ameona unapenda Ksana .

Eti wanavuta bangi unatofauti gani na hao.
Unampiga mkeo .

Ex wangu alikuwa akijua unachepuka anakuita siku mko free mnakunjana mpaka ukisema umechoka anakuuliza huko hukuchoka acha hizo nataka usirudie tena.
 
Back
Top Bottom