Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Great mind [emoji91][emoji91][emoji91]Mkuu nipo kwenye ndoa mwaka wa kumi na mbili sasa...nakushauri kitu ambacho nakijua wewe utaamua cha kufanya lakini jukumu la kukushauri ni jukumu langu.
1.usimuache kabisa huyo mke wako
2.wake za watu wanaliwa sana, ikiwemo wangu
3.usisahau na wewe una mchepuko
4.kinachowaunganisha ni watoto na ndio watakaoumia
5.vumilia,fatilia,mkanye,kuwa mkali ila usimuache...
nicheki Pm nikupe namba yangu kwa ushauri zaidi
Dah,yani kwa uandishi huu tu na hizi regrets zako unaonekana bado unampenda saaana mkeo basi tu wanaume hua mnajisahau kwa wake zenu mnahisi mkituweka ndani basi ndo kila kitu embu mpe muda kidogo ajitafakari ila usimuache pleaseNdio tumelala kitanda Kimoja sikuwa na hamu wala hisia nae na yy alikuwa akilia tu mara nyingi kuomba nimsamehe huku akisistiza yote nimesababisha mimi na hawez kunisaliti
kuhusu msg nilizoona kasema nikweli walitumiana na hata picha pia lakin hajawahi kumfanya sex nae na aliomba nimwangalie km kabadilika chochote huko chin,
Ukiangalia evidence na planning yote ni ngum sna kusema jamaa kamwacha hata chupi alio vaa jana
Nilinunua mimi ni mpya zile huwa hazivai marakwamara lakin jana alivaa , kweli mwizi hataakamatwe na kitu bado atabisha tu, kwahiyo dizain km mimi ndio nakosa tena.
So sad🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na pesa zako ndio kapandia uber kwenda kuliwa
Wanakulana sasa hivi kwa raha zaoMkuu tupe mrejesho mke karudi na mpo ktk hali gn kw sasa?
Si unaona sasaaa.....haya rudi kaa chini na mkeo yajengeni mlee wanenu na achana na uyo Salma.Nilikuwa na mjali kwa matumiz na huduma za watoto ndani lakin kusex nilikuwa sifanyi kama mwanzoni hapa nakir nguvu zote nilihamishia kwa mchepuko
Umetisha Sana mkuu[emoji119][emoji91][emoji91]Hivi kweli yupo
Mwenye roho mbaya kukushinda
Maana mi sijaona Duniani
Hivi kweli yupo
Aso na haya kukushinda
Maana mie sijaona sijaona
We mtu gani uko radhi mwenzako ateketee
Wakati unajua dawa yake
Ni kumponya, nihurumie
Ama mtu gani aliefika akaongeza makeke
Na wakati anajua mi kwako ndo napona,
We nihurumie
Mi najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea Nimekuzoea mmmh
Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa mmmmh
Na kama kuachana nakubali
Sawa fanya yako
Ila sio lazima unionyeshe uniumize
Au kisa unajua
Unaniacha bado nakuhitaji
Ndo unaona bora unikomeshe Unilize eeeh
Ah poa poa,
Nishajua vya utamu Vinakuwaga vya uchungu
Ili doa doa milima haikutani
Japo najua mapenzi
Sio kwichi kwichi tu
Yanayonogaga mazoea
Nimekuzoea mmmh
Unanionea, mwenzako siwezi matukio mazito
Unanionea, unanipiga mie
Unanionea, unafanya niamini mapenzi mabaya
Unanionea, lalalaa
Unanionea, unanionea bure
Hata Bonga anajua unanionea
Chino anajua, unanionea
Mimi sidindi asee wee. Livingstone kapita mazima jana tu ukute aligeuza pande zote aaagh.Wanakulana sasa hivi kwa raha zao
😀😀😀 Unasema tu, haya mapenzi yasikie hivi hiviMimi sidindi asee wee. Livingstone kapita mazima jana tu ukute aligeuza pande zote aaagh.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanakulana sasa hivi kwa raha zao
Wanaojifunika shuka moja wana siri kubwa sana,kuelewana ni dk 0.[emoji3][emoji3][emoji3] Unasema tu, haya mapenzi yasikie hivi hivi
Mmmm ungemfungulia alale humo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], ila hata wanaume matukio yenu makubwa yanavumiliwa tukuna mwanamke niliamua kumpangisha mpaka chumba siku moja tupo wote akawa anachat na kajamaa kake mpaka jamaa akamwambia vip mshkaji hayupo?? kaka jibu acah kumzungumzia tufanye yetu… Jamaa akamwambia nakupenda sana japo wew mke wa mtu demu akamjibu nakupenda piaa yani nilivyoona zile msg niliomba sana Mungu anipe uvumilivuu maana siku ile ningeuaa walahii… kesho yake nikamwambia nataka kuishi mwenyewe kwa sasa yani hata hakakuniuliza kitu kakaacha funguo kakasepa na vitu vyake sasaa ubaya Usiku sijui jamaa ake alikuwa hana geto kanaanza kuniuliza mbona nimerudi umefunga mlango [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] WANAWAKE HAWA KAMA HUNA MOYO MGUMU WALAHI ATAKUENDESHA SANA.
Ha haha ngoja arudi atuelezeWanaojifunika shuka moja wana siri kubwa sana,kuelewana ni dk 0.