Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku


Hapo mwishoni na mkewe ampe hayo umeandika..

Kwani mwanamke hana hisia??
 
Ni kumfahamisha hata kama wanaachana ajifunze kutokana na hili huko anakokwenda asirudie kosa. Si ajabu alikua ana pet pet kumbe bangi man anafanya kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Mkuu mi sijaoa,

Lakini nashauri Umsamehe mwenzio mkae muishi pamoja na kulea watoto.

Kwa sababu kama kucheat na wewe ulicheat, kama kuumia nae aliumia the same sasa tazama usaliti wake ni kama malipo ya dhambi zako. Ukijitazama peke yako utaishia kuwatesa watoto tu kaka.

Katika Uandishi wako umeonekana kuwa Objective sana naamini utanisikiliza.

Tubu, Tulia na mkeo, msihi nae atulie mjenge Familia yenu.
 
Sema hii hatari yani mwanamke Ndio anafosi kwenda kupigwa nao,aisee.....
Kuna jamaa angu amekuwa akitegwa na mke wa mtu tena ndoa changa hata miezi sita haijesha.
Jamaa angu huyo kampotezea huyi demu, acha demu alaumu.
Jamaa alinionesha msg alizikuwa anatumiw na mke wa jama.
Nawashangaa sna wabaoandika kuw hii stori ni chai.
Mademu wa sasa ni tamaa mbele hawajali ya kesho.
Mara nyingi ni wale wanawake waliozoea kupigwa hovyo kabla ya ndoa.
Atakapoolewa ataendeleza ile tabia ya kupigwa hovyo.
 
Hivi kuna mwanamke mwenye akili timamu na utashi, tena anayejiheshimu na kujitambua, akadate na boda boda? Yaan nikiona mwanamke anadate na boda boda hata niwe namuheshimu kias gan, namshusha vyeo vyote wallah.

Hawa boda boda ni wambea na chawa wakubwa, sasa hapo anakuambia wee, je kawaambia wangapi? Na huko kijiweni kwao gumzo lote ni huyo mwalimu aliyeliwa, mwsho wake habari zitasaambaa mtaan hadi mumewe atajua, na familia kuanza migogoro.

Hawa boda boda sio wa kudate nao kabisa, sijui why wanawake wengi ndo wanawapenda lol, mie nachefukwa khaaa.
 
Walikuona ndezi... Yaani wakakufata kabsa na jamaa akakufata kukueleza huo ungese?? We Mola nitie nguvu
 
Ouk sorry kwa hilo, na ahsante kwa kunielewesha sasa.
 
2/Kanitajia wanawake ambao yeye anahis mimi natoka nao katika hao mmoja niyule mchepuko wangu which is true
Sababu ya kijinga sna hii, kwahio nikifanya kosa na wewe unafanya kosa ndio justification yake? Usimuache na usiondoke hapo. Take heart, imagine maisha bila watoto wako, kwani si una mchepuko? Usiondoke hapo, narudia usiondoke kwenye hio nyumba na wala usithubutu kuwaacha watoto wako.

Narudia mara ya mwisho, baki hapo hapo, mtabadilishana hata vitanda but usiondoke na usimuulize wala kuliongelea tena hilo suala. Muache kam aalivyo, uhudumie familia yako na yeye mhudumie pia kama kawaida, maisha yenyewe haya mafupi sana aiseee. Last week nimempoteza rafiki yangu kisa stress. Usikubali na usiondoke na usijiingize kwenye ulevi.
 
Bora hata wee umesema.
 
Sema hii hatari yani mwanamke Ndio anafosi kwenda kupigwa nao,aisee...
yaani natype nafuta natypee nafuta..
nachelea tuu kusema.
U LADIES ARE SMOKING GUN
 
Kaza buti visa viko vingi mno, namna ulivyoanza story yako hustahili kuonewa huruma, na baadae umesema mkeo anajua michepuko na kataja, sasa kwa kuwa wewe ndiye uliemuoa ungepiga mpaka ashindwe kwenda kazini wiki zima.
 
Kwa mtazamo wako huo, na mie mantiki yangu sina hata haja ya kujadili hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…