Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

Kama umepima TZ umedanganywa wale Wanasema Yes kwenye kila chunguzo. Hawataki watoto yatima
 
😅 inaonekana upo serious sana usihofu hizi ajira za afya zilizotolewa utapata... Kijana usijione unajua sana ethics za kazi, hakuna cha ajabu si kila majibu yanayotolewa ktk vituo vya afya yanakua ya kweli, kuna wakat utapewa majibu kulingana na presha au saikolojia yako uliyonayo wakati huo... Karibu ktk kada ya afya utajifunza mengi tofaut na hayo uliyokaririshwa darasani...
 
ukijua maana ya damu ni nzito kuliko maji utanielewa.
 
Kuna kipindi mkemia mkuu wa serikali alisema asilimia kubwa ya wanaopima watoto wanakua sio wao ila wanaambiwa ni wao ili kupunguza watoto wa mtaani.
Kwa hiyo jamaa uhakika mdogo. Watakuwa walimcheki Kwa mbali mapigo yake ya moyo wakagundua jamaa atadondoka wakafanya counter attack techniques. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila unaroho ngumu sana [emoji134][emoji134][emoji134]
 
😂😂😂 asante chief, ila mimi siwahospitali. Nifanye kazi tamisemi, wakati nilipo huku pananitosha.
 
ukijua maana ya damu ni nzito kuliko maji utanielewa.
😂😂😂😂 achana na hisia zitakuua. Misemo ilikuwepo naitakuwepo mingi bali sio kila msemo utauapply maishani mwako. Uliambiwa kizazi hakizai haramu, siumeukataa hapo au ulikosea chief😂😂😂
 
Ukiona mtoto wako mpaka upime DNA basi una tatizo.
 
Ukiwa social father inatosha,kitu kinachoumiza zaidi ni kwenye hizi ada za mamilioni
 
Hongera Mkuu.

Kama Wakili amekupa nakala ya matokeo, itunze sehemu salama. Naamini atakuwa amekuambia namna hiyo nyaraka ilivyo sensitive, kama hajakupatia pia inabidi umuelewe Mkuu sababu hayo majibu sio yako ni ya kwake Wakili.
 
Tupe gharama mkuu kama ni kweli.
 
Mtoto akipimwa DNA hawezi jua labda umwambie ,kwa mkemia zinaenda samples kama nywele ,kucha,mate au damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…