Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

Kifupi hao watoto sio wako ndiyo maana umekuwa na wasiwasi mpaka umeenda kupima na wameshindwa kukupa majibu ya ukweli kwakuwa kila mtoto hapo na babake wameona utakuja kujinyonga bure au unaweza ua familia nzima
 
Kuna jamaa yangu kuna mwanamke wake mjamzito now pamoja na ujauzito Mwamba kagoma kumpeleka home kwa wazazi anasubili mbaka manz azae then aende kupima DNA kimya kimya akishapata majibu ndo yataamua ampeleke kwa wazazi au vip [emoji23][emoji23]
 
Mie wakwangu ni wangu. uthibitisho niliofanya ni kuchunguza vitabia vyao. wote wana vitabia ambavyo utotoni nilikuwa nayo na maumbile nadra. Mfano naweza kukunja kidole kwa namna mtu mwingine inakuwa ngumu. Vidogo nikaviambia vikunje vikaweza Daa!
Hahaaaa da this is very very primitive way
 
Unaweza usifanane nae chochote na bado akawa mwanao soma genetics uielewe
Hili swala Unaweza’ ni probability. Majority tumefanana na watoto wetu. Mm nimefanan na wakwangu. Na watu asilimia 100 wanaonizunguka wamefanana na watoto zao, hata pua au mdomo kama sio overall appearance. Hatuhitaji DNA.
 
Nadhani ungenambia una imani na dokta aliyepima kwa sababu ni mtu wako wa karibi maana hawezi chakachua wewe unasema una imani na wakili!

Wakili ndio alienda kuchanganya kemikali wakati wa upimaji?
Nadhan hauna ujuzi wa procedures zilivyo, ngoma nzima anaendesha na kusimamia wakili, ndio utaratibu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ achana na hisia zitakuua. Misemo ilikuwepo naitakuwepo mingi bali sio kila msemo utauapply maishani mwako. Uliambiwa kizazi hakizai haramu, siumeukataa hapo au ulikosea chiefπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ikiwa huamini hisia zako basi upo na tatizo mahali mkuu, Hisia hazikuwekwa ndani yako kukupoteza, So sipingi ikiwa hisia zako zipogo wrong all the time maana yawezekana ndo tatizo lako, ila mimi naamini kwenye hisia za kujua kweli na si kweli na huwa sifeli thats why.
 
social media ni social media tu, useme hazikuongopei ni sawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila sayansi haiongopi. Pia kwahilo wazo lako tuache kuwalaumu dada zetu kwakutumia hisia kwenye kuweka maamuzi maana twasema kuwa ni udhaifu waoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Social media kama social media πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
soma tena.
 
Kwa ya wengi nenda nje ya nchi ukapime tena ulete mrejesho.. lazima wamekunyima furaha... Pole
 
Wale wanaopima DNA wanaangakia haki ya mtoto kwanza,kama ulienda mwenyewe watoto wanakuwa wako,ukitaka majibu sahihi mwende wanaume wawli,masikini na tajiri,watoto watapewa baba tajiri
 
Nadhani ungenambia una imani na dokta aliyepima kwa sababu ni mtu wako wa karibi maana hawezi chakachua wewe unasema una imani na wakili!

Wakili ndio alienda kuchanganya kemikali wakati wa upimaji?
Hili neno kuu!
 
Kuna kipindi mkemia mkuu wa serikali alisema asilimia kubwa ya wanaopima watoto wanakua sio wao ila wanaambiwa ni wao ili kupunguza watoto wa mtaani.
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…